Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Huko huko kwenye mtoko anataka awe na mtoto atatoka vipi.[emoji44] mwenyewe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti soda sh ngap hapa. Nimecheka sana
Akikuta 1500 anagairi kijiwe wanaanza kuchapa mwendo no bajaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si karibu tu mdada twende
 
Akunyimae kunde, kakupunguzia mashuzi. Kila kitu na wakati wake, pengine ni muonekano wako kwa sasa au lugha unayoitumia haiwavutii. Maana kutongoza ni kujiamini, na kujiamini ni muonekano wa mtongozaji, jinsi unavyotembea, unavyoongea na uwezo wa mtongozaji kumshawishi mtongozwaji ajisikie kama vile ameokota dodo chini ya mti wa mkwaju. Kutongoza ni fani ambayo inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kushawishi kwa hiari, ukifikia kiwango cha kuweza kuwashawishi waeskimo wanunue barafu kwako, basi hata kutongoza itakuwa kama vile unavyotembea kwa miguu, huna hata haya ya kufikiria.
Ila kama una hela basi hata kama hujui kutongoza utawapata tu, tena wengi sana.
 
Vipi mkuu, ulifanikisha kutongoza na kukubaliwa?
 
Sababu wanajua hata wakiomba ya kutolea hutawapa si unajua miamala ilivyo kwa sasa.
 
mzee kama ELSIE tu alikushinda Chief Nanga akala mzigo..na pesa zake!!.. tafuta hela man..hutatongoza wala nn
 
Tafuta pesa utasahau mara ya mwisho lini ulitongoza.
Ukiwa na pesa, gari, unavaa vizuri na unajua kutumia pesa basi umewamaliza hawahitaji maneno mengi, just your money coz money is security to them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…