inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Familia yake waislam,ndipo alikopata jina abdulrasul Aziz ilhali yeye si mwarabuPohamba hivi RA ni Zoroaster?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia yake waislam,ndipo alikopata jina abdulrasul Aziz ilhali yeye si mwarabuPohamba hivi RA ni Zoroaster?
Soma kuhusu, CROOKED PEOPLE AND OPPORTUNITY SEEKERSKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
KingmakerKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
labda walimaanisha "who is the owner of Simba of Tanzania".
He knows how to break ice, anajua namna ya kuvunja barafu hahaaRostam ni dalali wa rasimali zetu.
Anatajwa kama muwakilishi rasmi wa kibiashara wa USA wa siri kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati hususani Tanzania. Kila deal analofanikisha kuna percent anavuta kama commission. Anakula kote kote.
Alipokuwa anang'atuka ubunge aliwaambia wazee wa Igunga yeye ni mfanya biashara wa kimataifaKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
mmmm ??????Tanzania tushukuru tuna wafanya biashara kama Rostum wanao nyanyua jina la Tanzania kimataifa.
Rais siku hizi haendi ziara nje ya nchi ketembea tu. Sehemu kubwa ni kuimarisha uchumi wa Tanzania kwa kufungua masoko na uwekezaji.
Rostum anajituma na anatumia fursa ya ziara hizi kuinyanyua Tanzania
Iba naww kama ni simple, maguful aliwajaza roho chafu nyieRostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
Mjumbe mkuu wa rushwa za viongozi wa CCMKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Kwani rostam ni mfanya biashara ? Tumia akiliKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Kijana usihoji sana , utatekwa , huu ni ushauri wa Pascal , aliwahi kunionya nilipohoji mambo ya Maharage ChandeKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Mbona Mimi nimewaona wengine tofauti na Rostam? Nilimuona mmilikiwa wa State Oil kwenye ndege ya Rais huko Zambia.Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Na bado mtakoma. Soon anakuja Rais wa Iran deal jingine liko jikon.Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?