Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

Wabongo tunajuana

hata ukiwa na Mademu wengi utapondwa kwa umalaya na ukijitunza utaitwa Shoga

ukiwa tajiri unakuwa mwizi na ukiwa maskini unaambiwa hujiongezi

Wewe baki na misemo yako na ndio itayogawanywa kama mirathi kwa kizazi chako, acha wenzio wapambane kuacha legacy hadi kwa Wajukuu zao
Hizi ndio akili za ccm na uchawa wenu mpaka mnakuwa mashoqer!! Rostam ni jambazi papa... Mdogo wake alikamatwa na nyara za Nchi na mabunduki rukuki....!!
 
Dalali wa Tanganyika
Anampa maza maelekezo ya rasilimali gani zipo na penye soko la udalali ni wapi
 
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?

Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Huko Zambia wamekwenda kuwadafishia njia DPW. Wakitoka huko atakwenda Malawi, Burundi na DRC. Ni kazi ya Mwarabu hiyo.
 
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?

Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Rostam ni dalali wa rasilimali za Tanzania, umewahi kuona dalali akaja baada ya muuzaji kufika?
 
Huyu ndiye alikuwa mkunga kwa ule. Mpango wa usiku,uliofanyika katikati ya giza,nyuma ya nyumba tena kwa mnong'ono ili watu waadirifu wasisikie, mpango huu uliifanya nchi kuzizima na kutoa machozi ya damu.kwa rost tamu anakula matunda ya kazi yake ovu.
 
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?

Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Mwizi huambatana na wezi wenzake!
 
Rostam sio size yako

wakati wa Jk kwny Ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama alijipenyeza hadi moja ya matukio lilikuwa ni Obama kuzindua mitambo yake ya Symbion ambayo aliibadilisha kutoka Dowans hadi symbion na kuanzia hapo Wapinga ile mitambo wakaufyata milele

Rostam ndio alimuamuru Benjamin Mkapa atoe yale mabilion ya EPA

wakati wa JPM, Rostam ndio mtu pekee alikaribishwa Ikulu na picha zika trend anakunywa Chai na Rais Ikulu

huyu Mtu ni zaid hatare
Na baadae akatekeleza lile jukumu lake alilokusudia.
 
Tanzania tushukuru tuna wafanya biashara kama Rostum wanao nyanyua jina la Tanzania kimataifa.
Rais siku hizi haendi ziara nje ya nchi ketembea tu. Sehemu kubwa ni kuimarisha uchumi wa Tanzania kwa kufungua masoko na uwekezaji.
Rostum anajituma na anatumia fursa ya ziara hizi kuinyanyua Tanzania
Nlivosoma hii comment nikajua imeandikwa na Lucas Mwashambwa....
 
Anasafisha njia atakuwa ni TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji575]
Mwizi huyo,hawezi kuwa tiss,huyo ni wakala wa cia anayelinda na kusimamia makampuni ya kibepari ya nchi za magharibi,na huyu ndie Ali husika na ile siku ngumu kwa zambia na Tanzania. Zoote kwa pamoja zililia na kugugumia.
 
Huna ujualo... Rostam kaiibia Nchi mpka huo ufanyabiashara wake ukawa hivyo ni ujambazi na wizi wa Mali za was Tz wajinga Kama wewe!!, Rostam n jambazi papa na anapaswa anyongwe hadharani!.
Kama ni jambazi na kaiibia nchi, ni lini uliwahi kuona hata mashtaka yake Mahakamani? Wacha wivu, kakuzidi akili ya kuona fursa.

Wewe mwenyewe Exy ni mwizi ila hujui namna ya kuwekeza. Umeendekeza ULEVI, uzinzi na starehe zingine
 
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?

Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Ulimwengu unaendeshwa na wafanya biashara kwa sasa, tujitahidi tutengeneze connetions za kutengeneza pesa.
 
Back
Top Bottom