Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

Hizi ndio akili za ccm na uchawa wenu mpaka mnakuwa mashoqer!! Rostam ni jambazi papa... Mdogo wake alikamatwa na nyara za Nchi na mabunduki rukuki....!!
 
Dalali wa Tanganyika
Anampa maza maelekezo ya rasilimali gani zipo na penye soko la udalali ni wapi
 
Huko Zambia wamekwenda kuwadafishia njia DPW. Wakitoka huko atakwenda Malawi, Burundi na DRC. Ni kazi ya Mwarabu hiyo.
 
Rostam ni dalali wa rasilimali za Tanzania, umewahi kuona dalali akaja baada ya muuzaji kufika?
 
Huyu ndiye alikuwa mkunga kwa ule. Mpango wa usiku,uliofanyika katikati ya giza,nyuma ya nyumba tena kwa mnong'ono ili watu waadirifu wasisikie, mpango huu uliifanya nchi kuzizima na kutoa machozi ya damu.kwa rost tamu anakula matunda ya kazi yake ovu.
 
Mwizi huambatana na wezi wenzake!
 
Na baadae akatekeleza lile jukumu lake alilokusudia.
 
Nlivosoma hii comment nikajua imeandikwa na Lucas Mwashambwa....
 
Anasafisha njia atakuwa ni TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji575]
Mwizi huyo,hawezi kuwa tiss,huyo ni wakala wa cia anayelinda na kusimamia makampuni ya kibepari ya nchi za magharibi,na huyu ndie Ali husika na ile siku ngumu kwa zambia na Tanzania. Zoote kwa pamoja zililia na kugugumia.
 
Huna ujualo... Rostam kaiibia Nchi mpka huo ufanyabiashara wake ukawa hivyo ni ujambazi na wizi wa Mali za was Tz wajinga Kama wewe!!, Rostam n jambazi papa na anapaswa anyongwe hadharani!.
Kama ni jambazi na kaiibia nchi, ni lini uliwahi kuona hata mashtaka yake Mahakamani? Wacha wivu, kakuzidi akili ya kuona fursa.

Wewe mwenyewe Exy ni mwizi ila hujui namna ya kuwekeza. Umeendekeza ULEVI, uzinzi na starehe zingine
 
Ulimwengu unaendeshwa na wafanya biashara kwa sasa, tujitahidi tutengeneze connetions za kutengeneza pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…