Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa inaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Mkuu kabla ya kuandika/kusema kitu ufanye kwanza utafiti..
Mbona alikuwa huko mwaka jana mwezi wa tisa.
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa mara Kwa mara zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Mko wachache sana.
 
Mwaka Jana siku ya ukimwi kitaifa alikuja Lindi na akahutubia ilulu na mnazi mmoja Ilikuwa April 01..sasa ulitaka kila mwaka aje mara ngapi mara tatu au
Mara Kwa mara!!

Mbona safari za Kanda ya ziwa haziishi?
 
Back
Top Bottom