Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Vyumba vya reli ukienda kule utaviona Ila reli haipo wala Gari Moshi hakuna
Unajua uvachokiongea ni kama movie!!

Sababu Hasa ya kungoa Reli ni nini,

Ilikuwa inatatiza labda ujenzi wa barabara au Miundombinu mipya? Sababu Hasa ni nini!!
 
Unajua uvachokiongea ni kama movie!!

Sababu Hasa ya kungoa Reli ni nini,

Ilikuwa inatatiza labda ujenzi wa barabara au Miundombinu mipya? Sababu Hasa ni nini!!
Wenyewe wa Kosini ukiwauliza vizuri watakoeleza sababu Ila nahisi sababu reli ulikua mpango wa Mjeremani kusafirisha mazao kupeleka Ulaya sasa ukimuachia reli akarudi si atakua anavusha tu bandarini kwenda Ulaya na haukua mpango wa JKN sasa ili kumkoa Mjeremani reli ikang'olewa (Ujamaa) kumbe hawakujua kua hawakua wanamkomoa Mjeremani bali wanajikomoa wenyewe
 
Mara Kwa mara!!

Mbona safari za Kanda ya ziwa haziishi?
Nini cha maana kimeongezeka lake zone kutokana na safari hizo na nini kimepungua Lindi na Mtwara kutokana na mama kutokwenda huko?
 
Wenyewe wa Kosini ukiwauliza vizuri watakoeleza sababu Ila nahisi sababu reli ulikua mpango wa Mjeremani kusafirisha mazao kupeleka Ulaya sasa ukimuachia reli akarudi si atakua anavusha tu bandarini kwenda Ulaya na haukua mpango wa JKN sasa ili kumkoa Mjeremani reli ikang'olewa (Ujamaa) kumbe hawakujua kua hawakua wanamkomoa Mjeremani bali wanajikomoa wenyewe
Sababu hiyo ingekuwa na mashimo endapo tungekuwa tumepata uhuru Kwa vita,

Au kungoa Reli huko ni Mbinu ya kivita,,

Itakuwepo sababu zaidi ya hiyo, nitaijua tu.

Muda ni mwalimu.
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Mnataka mumtumie mamoshi yenu eee 😂😂😂
 
Kwetu
😂😂😂 Hivi Kusini na Kanda ya Ziwa kule kwa kina kamchape wapi kuna Wanga vigagula wachawi na Imani za kishirikina? Ushasikia Kusini wana kamchape mpaka Serikali inaingilia kati? Ushasikia Kusini albino kakatwa Miguu? Ushasikia Kusini au

😂😂😂 Hivi Kusini na Kanda ya Ziwa kule kwa kina kamchape wapi kuna Wanga vigagula wachawi na Imani za kishirikina? Ushasikia Kusini wana kamchape mpaka Serikali inaingilia kati? Ushasikia Kusini albino kakatwa Miguu? Ushasikia Kusini au basi
Kule kuna wachawi sawa ila sio kama lindi na mtwara huko kuna wachawi wa hovyo wamezuia mpaka maendeleo kusini.
 
Nini cha maana kimeongezeka lake zone kutokana na safari hizo na nini kimepungua Lindi na Mtwara kutokana na mama kutokwenda huko?
Impact IPO kubwa tu itokanayo na safari za viongozi Hasa kiuchumi.

Na kukosekana ni HASARA pia Kwa wasiotembelewa.
 
Kwetu

Kule kuna wachawi sawa ila sio kama lindi na mtwara huko kuna wachawi wa hovyo wamezuia mpaka maendeleo kusini.
Kumbe maeneo mengine Kuna wanga wenye kupenda maendeleo 🤔

Anyway,labda tuseme kule wameuendekeza na ni idadi kubwa!!
 
Ujumbe huu ni wao pia.

Sisi Wana Ntwara, tumewakosea nini🤔
Mnataka kufanyiwa na kuletewa. Dunia ya sasa fanya lako. Anzisheni chama cha wanakusini.

Ccm ilishapoteza ushawishi.

Usalama ndio wanazofanya ccm ishinde. Achana na chama cha Lipumba, achana na chama cha zitto. Achana na Samia. Anzisheni chenu.

Sera iwe ni utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe.

Kupitia sera hiyo huko mbeleni naungana na musiopendana chadema. Huu ndio Muungano hata wa znz wanausubiri kwa hamu. Serikali za majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe
 
Back
Top Bottom