Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Leo hii watu tumevuna ufuta lakini barabara ni mbovu,magari hayaji tunashindwa kupeleka mzigo sokoni unategemea tutapiga hatua!!
Hivi kwanini Nyerere aliwang'olea Ile reli yenu iliyojengwa na mjeremani?
 
🤣🤣Huko kuna waganga kibao wangine wana titi moja na jicho moja wengine wanatako moj.Home boys wote Jiwe na makonda wamekutana na vibwengo Jpm alikutana na moshi Makonda akapata ajari..gari kibao zikapata ajari huko lazima ujipange watu wako fiti kwa ndumba.
 
😂😂😂 Hivi Kusini na Kanda ya Ziwa kule kwa kina kamchape wapi kuna Wanga vigagula wachawi na Imani za kishirikina? Ushasikia Kusini wana kamchape mpaka Serikali inaingilia kati? Ushasikia Kusini albino kakatwa Miguu? Ushasikia Kusini au basi
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Vp ule moshi haupo kabisa?
 
Kwamba palikuwa na Reli ikangolewa?

Ongea zaidi hapo🙏
Reli ilikuwepo kule Kusini ilijengwa na Mjeremani Ile reli Nyerere alipochukua Nchi cha kwanza alichofanya ni kuing'oa Ile reli mpaka kesho Kusini kule hakuna reli

Km nimekosea nipo tayari kusahihishwa km kuna reli kutoka Kusini kuja Dar au kwenda mikoa mingine ya kasikazini naomba kuonyeshwa labda nipo nyuma ya Muda
 
Ngoja waje,

Mimi nalitafiti hili jambo muhimu kabisa!!

Nia Hasa ilikuwa nini🤔
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Mbona hata viongozi wakuu chadema ndini ya miaka 8 wamepita mara moja tu. Wamepita na hakuna opereshini hata moja wameifanya.

munavioenda ccm na chadema kuliko wao wanavyowapenda.

Kuna haja ya kuanzisha chama chenu. Muwe tanuri la kuwatengeza vijana. Waje kuwa wagombea nafasi nyeti. Ikiwemo urais.

Si unamwona mama kila kila yupo znz.
 
Ujumbe huu ni wao pia.

Sisi Wana Ntwara, tumewakosea nini🤔
 
Hiyo relief haikutoka Kusini kuja dar Bali ikikuwa huko huko Kwa ajili ya kubeba karanga
Ndio kubeba karanga na Muhogo kupeleka bandarini, Mjeremani aligundua kule karanga zinastawi sana akaona Usafirishaji ni kikwazo akawajengea reli kuelekea bandarini, JKN alipochukua uongozi reli akaing'olea mbali wakati Ile reli wangefanya mchakato ifike hata Kigoma Ila haikua kipaombele chake kwa wakati huo sasa hivi Kosini hakuna reli inayofika hata hapo Moshi tu tena Moshi mbali kutoka Ntwara kwenda Ruvuma hakuna reli kutoka Ntwara kwenda Lindi reli kushnehi kutoka Ntwara kuja Dasalama hakuna Gari Moshi, nimesema hapo Jamaa analalamika kuhusu Usafirishaji wa mazao nikamwambia kungekua na reli kusingekua na tabu ya kusafirisha mazao kutoka Kosini kwenda kwengineko reli nazongumzia reli km reli sio relief
 
Kwahiyo waling'oa Reli na kuuza vyuma chakavu?
 
Back
Top Bottom