Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

Karibu🙏
Mkuu mbona kama kuna tukio unalilenga, Mtwara/Lindi/Ukerewe?
 
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko...

Unakusudia kaenda mara Nyingi kanda ya ziwa kuliko Kizimkazi?

Utakua huko serious.
 
Back
Top Bottom