Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,

Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?

Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa sana, ziara Yako mheshimiwa MARA KWA MARA zinaaweza kufungua MILANGO ya fursa kule Nako kuchangamke!!

Anyway, tufanye kuwa unawapenda sana watu wa Kanda ya ziwa, basi ujapo Mwanza pita pia visiwa vya UKEREWE Utusalimu.

KaribušŸ™
 
Mkuu kabla ya kuandika/kusema kitu ufanye kwanza utafiti..
Mbona alikuwa huko mwaka jana mwezi wa tisa.
 
Mkuu kabla ya kuandika/kusema kitu ufanye kwanza utafiti..
Mbona alikuwa huko mwaka jana mwezi wa tisa.
Tena umenikumbusha mwaka Jana amekuja mara mbili kwenye ziara Tena wilaya zote za Lindi na mwezi wa nne mwaka huohuo wa Jana alikuja siku ya ukimwi
 
Mko wachache sana.
 
Mwaka Jana siku ya ukimwi kitaifa alikuja Lindi na akahutubia ilulu na mnazi mmoja Ilikuwa April 01..sasa ulitaka kila mwaka aje mara ngapi mara tatu au
Mara Kwa mara!!

Mbona safari za Kanda ya ziwa haziishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…