Kwanini kiongozi wetu hafanyi ziara Lindi na Mtwara?

Mwaka Jana alikua lindi na mtwara
 
Mbona haendi mara Kwa mara kama lake zone?

Au ni sababu kule hamna sato fresh!!
Alisema ukitaka ugomvi na yeye basi mvurugie Uchumi wake km wanavyofanya wafanyabiashara wa K/Koo, sasa huko Lindi & Ntwara kuna Uchumi gani Makaa ya Mawe, Gesi & Korosho hivyo tu? Sasa huko lake zone kuna zaidi ya hivyo hivi Lindi & Ntwara inachangia kiasi gani Pato la Taifa?
 

Umepitwa sana na wakati, jionee:


View: https://youtu.be/NQhW_ow6Q8o?si=ZwLrvRs1P6Bc52EV
 
Hujui kitu.kusini inachangia pakubwa kuna mazao mengi ya biashara(ufuta,karanga,mbaazi,korosho,mihogo na nazi),madini,makaa ya mawe na uchumi wa bahari.Wewe unaona kawaida tu!! Utafanananisha na mikoa yenye zao moja kama Njombe na Iringa wanaotegemea mbao, parachichi na viazi!!

Changamoto ni kwamba kusini imekosa msaada wa serikali ila vyanzo vya mapato ni vingi sana,lakini serikali haitoi sapoti kwa kawahakikishia masoko ya uhakika na wala hawaboreshi miundombinu.Leo hii watu tumevuna ufuta lakini barabara ni mbovu,magari hayaji tunashindwa kupeleka mzigo sokoni unategemea tutapiga hatua!!
 
Ubarikiwe 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…