Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Fafanua vizuri HAPOFungu la ofisi ya rais lina kila kitu. Na ana bajeti yake. So si kificho ni utaratibu upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua vizuri HAPOFungu la ofisi ya rais lina kila kitu. Na ana bajeti yake. So si kificho ni utaratibu upo
Wewe lini ulisaini HICHO unachokiandika kwamba ulikubari iwe HIVYO? Ndio maana Wasouth wamedinda ku'mam@keeHutengewa kila kitu kwa gharama za wananchi.Kila kitu.
Safari za rais peke yake haziwez kupunguza dollar nchi nzima. Wafanya biashara kukosa dollar sababu si safari za rais, sababu ni mifumo ya fedha ya ndani, rekebisha hiyo dollar zitaonekana or elseSasa ikiwa wafanyabiashara wanakosa dollar kwenye banks,
Kwanini safari za nje zisifutwe Hadi mambo yatakapotengemaa?
Nini maana ya uongozi?
Safari Moja ya Rais na wapambe wake wanaofikia 100 kwenda marekani na kukaa wiki Moja hugharimu Dollar Bei Gani?Safari za rais peke yake haziwez kupunguza dollar nchi nzima. Wafanya biashara kukosa dollar sababu si safari za rais, sababu ni mifumo ya fedha ya ndani, rekebisha hiyo dollar zitaonekana or else
Viongozi wazuiwe kusafiri nje ya Nchi maana ndio wanaokausha hazina ya dollar nchini.Hali si nzuri na soon Importers wengi watakuwa taabani kiuchumi..
Tufungue milango,Turegeze sheria
Wageni toka mataifa mbalimbali waje na dola bila kikomo..Wachangamshe uchumi na uwekezaji..
Waganda,Wakongo,Wachina,..
Mkuu Rais Samia usimchukulie kama mtu wa kawaida, mh ni taasisi iliyoshika hatamu ya kuongoza nchi.Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata ni rate kubwa Hadi 3000sh Kwa 1 Usd.
Swali linakuja kuwa,
1. Kiongozi wetu anapofanya safari za nje Huwa anatumia Pesa za kitanzania TSHS akiwa huko Nchi za watu?
2. Na ikiwa Huwa anatumia dollar na walioambatana naye ,wao huwa wanapata wapi hizo USD ambazo wafanyabiashara wakienda benki hawazipati?
3. Tukiwaza Kwa sauti kuwa safari za nje za viongozi wetu ndizo zinakausha hazina ya dollar nchini, tutakuwa tumekosea kuwaza hivyo?
4. Ikiwa hizi Bureau de Change za mtaani wanazo dollar, iweje MABENKI yakose USD, hamnu
si harufu ya kitu kibaya hapo?
USHAURI: Kiongozi wetu mkuu na WA chini yake, wasitishe safari za nje Hadi hapo Nchi itakapokuwa na hazina ya pesa za kigeni za kutosha. Uongozi ni vitendo, ni kuongoza njia, Si maneno matupu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Ameenda marekani mara ngapi?Mkuu Rais Samia usimchukulie kama mtu wa kawaida, mh ni taasisi iliyoshika hatamu ya kuongoza nchi.
Itifaki lazima izingatiwe.
Master card bila kuwa na account ya dollar, itafanya KAZI nje ya Nchi?Master Cards kazi yake ni nini labda??
Unaambiwa safari Moja Huwa inagharimu zaidi ya B2 na kuendelea.Inawezekana hayo masafari na team kubwa hadi ya wasanii wajinga ndo yaliotusababishia uhaba wa dola nchini!.
Mkuu Joe Biden ni rais na Samia Suluhu ni rais.Ameenda marekani mara ngapi?
Mbona Biden hajakanyaga huku?
Kwani lazima kusafiri Kila kukicha, video conferencing inatosha, wabaki nchini tupate pesa ya kuagiza bidhaa.
Kwahiyo huko nje kuwa wajomba wanaotoka pesa Bure sio!!Mkuu Joe Biden ni rais na Samia Suluhu ni rais.
"Poverty isn’t a lack of character. It’s a lack of cash.” —Rutger Bregman
Mkuu naona bado una mindset ya Magufuli kwamba sisi ni DONOR country.Kwahiyo huko nje kuwa wajomba wanaotoka pesa Bure sio!!
Ni Kweli Si uongo.Mkuu naona bado una mindset ya Magufuli kwamba sisi ni DONOR country.
Mkuu usiishi katika hisia ishi katika uhalisia.Ni Kweli Si uongo.
Nchi yenye madini ya Kila aina kwenda kutembeza bakuli kuomboleza ni fedheha Kwa nchi yetu.
Hujui kuwa Dhahabu yenyewe ni PESA?
Kwanini Serikali isihakikishe Dhahabu yote unaingia kwenye Stock exchange nchini, ndege zisiruhusiwe kupakia gold bars zikaguliwe zote na sisi tupate hisa ya 50%,
Tukifanikiwa Hilo, migodi ya Dhahabu pekee itatoa trillion 50kwa mwaka.
RUSHWA ndio tatizo letu, sisi Si maskini. Ukisema Umaskini wa Akili, nitakubali.
Botswana ni Nchi Iko Africa na Wana hisa ya 50%+ Kutoka makampuni ya almasi na Dhahabu,Mkuu usiishi katika hisia ishi katika uhalisia.
Mkuu I rest my case, maana mtu akiishiwa hoja huleta vioja. Ni vema nibaki na umbumbumbu wangu.Kama Si mbumbumbu, basi ni MMOJA wa wanufaika wa wizi wanaostahili kunyongwa.
Mkuu I rest my case, maana mtu akiishiwa hoja huleta vioja. Ni vema nibaki na umbumbumbu wangu.
Lugha za fedheha zinawezekana kabisa.Unadhani mawazo ya Mtoa hoja hayawezekani kutekelezeka?
Kwa nini ?