Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tuendelee kutafuta hela mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jamani tunatakiwa kusoma between the lines. Andiko linajieleza kwamba mwandishi baada ya kuona hiyo inconsistence ya taste , akatengeneza null hypothesis kwamba hakuna tofauti kati ya chakula hicho fresh na kiporo chake. Baadaye akafanya random selection na kutumia open questionnaire approaches ambayo ni sehemu ya qualitative methodology.Kwa research ipi?
I am sorry sikusoma mpaka mwisho......nilisoma sentensi ya kwanza "nikaishia"..... kumbe kuna researxch kabambe ilifanyika. All in all nitamtafuta inbox anipe investigators brochure niipitie....Hivi jamani tunatakiwa kusoma between the lines. Andiko linajieleza kwamba mwandishi baada ya kuona hiyo inconsistence ya taste , akatengeneza null hypothesis kwamba hakuna tofauti kati ya chakula hicho fresh na kiporo chake. Baadaye akafanya random selection na kutumia open questionnaire approaches ambayo ni sehemu ya qualitative methodology.
Mwandishi amesummarize findings ya research yake . Soma hapa chini, katoa percentage ya results out of total interviewed ingawa hakutoa sample size which of-course ni limitation ya quick study yake kwani this might have affected the validity and representation ya findings, ila findings imeweza kunegate the null hypothesis kwamba kuna tofauti. Next time tutakwenda kwenye level ya kucalculate P-Value husiwe na wasi
Jamani summary of the findings kussupport the scernario ilikuwa
"Asilimia 95% ya watu niliowauliza kuhusu hii unique and unexplainable scenario wamekubali tena wengine wakasema "unaweza kumaliza sufuria nzima", wengine wakaongezea "ni hatari, kinakuwa kitamu zaidi kikipashwa na kuliwa kwenye sefuria yake ileile ikiwa na ukoko wake", "just changanya kiporo cha maharagwe humohumo kwenye sefuria"
Jamani sio kila kitu lazima kiwe serious. Tusiyafanye maisha magumu kama msumari au machungu kama mwarobaini. Kujifundisha tuvitu tudogo tudogo tulivyokuwa tukitufurahisha udogoni au hata sasa si vibaya jamani, au unasemaje mzee mkubwa aliye serious, hasiyetaka utani. Umri si hoja wewe angalia hoja yenyewe kimantiki, flow of logic and idea, uhandishi, how did the writer made a case by supproting evidence, je whay did he write, anything to learn, na hayo ndio maisha brother. Ukitaka vitu serious unaweza pia kureview some of my previous postssijui jamaa ana umri gani kwa kweli
Ahaaaaa nimeipenda hiyo kiporo cha makande na kisamvu. Do hiyo si sumu kabisasufahamu ila pia hua nabugia kiporo hicho vizuri tu na maziwa fresh,
na nimeona pia utofauti wa ladha nzuri sana kwenye kiporo cha makande, na kwenye mboga inaitwa kisamvu
huenda kuna vibacteria vya utamu vinaingiaga kwenye kiporo kikipoa vizuri usiku![]()
Do mazee mbona unatutisha....hatariSababu kuu ni mikono ya wachawi wakija usiku na kushika chakula hiko. Unadhani wachawi huwa wanakuja kufanya nini majumbani kwenu kila aiku usiku ? Ni msosi.
ofcoz mvinyo ukikaa kwa muda mrefu zaidi baada ya kuzalishwa ndo unakuwa mtamu zaidi ya mpyaHata bia ya siku ile ile haipandi. Ikilala ndio watu wanafurahi kama ile harusi ya kana.

Ahaaa aksante sana, of-course those are some of confounders factors ambazo zinaweza kuathiri matokeo ya utafiti wowote wa aina hiyo. Mfano ukiuliza piza ni tamu kuliko pilau kwa watu w marekani ambao hawajawahi kutest pila, watakwambia pilau ni uchafu, ila ukija kwetu tutapenda pilau nyama kwani mapiza ni kama chapati tu na sisi tunaona ni kama kitafunio tu.Ila studies nyingine ni za chap chap ili ziweze kuinform bigger and structured studies. Ila aksante sana bro kwa challenge nzuriI am sorry sikusoma mpaka mwisho......nilisoma sentensi ya kwanza "nikaishia"..... kumbe kuna researxch kabambe ilifanyika. All in all nitamtafuta inbox anipe investigators brochure niipitie....
sample size, selection of participants.... and other statistical jargon in research/social science research in particular
Kama alifanyia research yake kwa "wala wali" as staple food, then utapata majibu kama hayo......
Again , ukimuuliza mhaya hivi kahawa iliyopikwa ya kufuna ina utamu gani? majority wahaya watakupa majibu kuwa ni tamu sana. Lakini kiuhalisia wakija wageni kutoka overlake wanasema wana roho nngumu kula vitu kama hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesahau
kiambatane na chai ya rangi ulie kwenye sufuria tena ya maharage tia humo ubwabwa chaganya ukitoka hapobsubiri usingizi wake
Wewe inaonekana mume siku asipoenda kazini unalia kiporo jikoni kwa kificho[hahaha utani tuu]umesahau
kiambatane na chai ya rangi ulie kwenye sufuria tena ya maharage tia humo ubwabwa chaganya ukitoka hapobsubiri usingizi wake
Mm napenda nile kiporo na parachichi au ndiz 😋😋,huwa siongei namtu mpka nishibe kwanza.Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula hicho hicho fresh from the kitchen.
Najua utabisha ila karibu asilimia 95% ya watu niliowauliza kuhusu hii unique and unexplainable scenario wamekubali tena wengine wakasema "unaweza kumaliza sufuria nzima", wengine wakaongezea "ni hatari, kinakuwa kitamu zaidi kikipashwa na kuliwa kwenye sefuria yake ileile ikiwa na ukoko wake", "just changanya kiporo cha maharagwe humohumo kwenye sefuria"
Je wewe unafikiri hii scernario ni kweli? nini experience yako? je wewe ulijisikiaje ukiwa mdogo enzi zile au hata sasa? ni kitafunio bora zaidi, huitaji msosi wa mchana kama ukisindikizia na chai nzito ya maziwa iliyo na Tangawizi kwa mbali?
Swali gumu ni je kuna njia yeyote ya kibiologia, kiphysiologia, kimila na kiutamaduni inaweza kuelezea mabadiliko ya utamu ndani ya kiporo cha wali na maharagwe ya nazi contrary to the nature kwamba kiporo hakiwezi kuzidi chakula fresh kwa utamu
mume ni rafiki yangu kwa nini nijifiche nikila? hapohapo ananiona na sufuria langu yeye kwenye sahani ili mradi asiharibu combination murua ya uporo wa bwabwa ndondoWewe inaonekana mume siku asipoenda kazini unalia kiporo jikoni kwa kificho[hahaha utani tuu]
Hongeramume ni rafiki yangu kwa nini nijifiche nikila? hapohapo ananiona na sufuria langu yeye kwenye sahani ili mradi asiharibu combination murua ya uporo wa bwabwa ndondo
Kinatia udwanzi wa kusinzia kama dege vivu!Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula hicho hicho fresh from the kitchen.
Najua utabisha ila karibu asilimia 95% ya watu niliowauliza kuhusu hii unique and unexplainable scenario wamekubali tena wengine wakasema "unaweza kumaliza sufuria nzima", wengine wakaongezea "ni hatari, kinakuwa kitamu zaidi kikipashwa na kuliwa kwenye sefuria yake ileile ikiwa na ukoko wake", "just changanya kiporo cha maharagwe humohumo kwenye sefuria"
Je wewe unafikiri hii scernario ni kweli? nini experience yako? je wewe ulijisikiaje ukiwa mdogo enzi zile au hata sasa? ni kitafunio bora zaidi, huitaji msosi wa mchana kama ukisindikizia na chai nzito ya maziwa iliyo na Tangawizi kwa mbali?
Swali gumu ni je kuna njia yeyote ya kibiologia, kiphysiologia, kimila na kiutamaduni inaweza kuelezea mabadiliko ya utamu ndani ya kiporo cha wali na maharagwe ya nazi contrary to the nature kwamba kiporo hakiwezi kuzidi chakula fresh kwa utamu