Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

Ukipata majibu kwanini LUBISI ILIYO LALA NI TAMU SANAA HAUTO SUMBUKA😅😂😅
 
Prof. Janabi kasema KIPORO ni bora zaidi kuliko chakula kipya!
 
Shart lake usile kwa kutumia kijiko.

Tumia mkono alafu huku mkono unaulamba.
Yani ninyi mnaojifanya wa kishua ndio mnakula hadi kesho na wengine leo hii mmekula uporo.

Ku**make kiporo....
 
Sababu kuu ni mikono ya wachawi wakija usiku na kushika chakula hiko. Unadhani wachawi huwa wanakuja kufanya nini majumbani kwenu kila aiku usiku ? Ni msosi.
😂😂😂🙌
 
Huu ni mtizamo wako. Mimi nikiwa Bongo hakuna kitu nachukia kama kiporo. Tena bora wali, ukikutana na kiporo kama cha ndizi ni kibaya kweli kweli.
Mkuu habari za kuwa bongo zimeingiaje hapo sasa?
Aya wasalimie hapo nyuyoku
 
Nimependa conclusion yako.
Tunaweza kuitumia kufanya research tena!
 
Hata ugali uliosongwa kwenye chungu na maharage yaliyopikwa kwenye chungu yakawekwa karanga zilizokaangwa na kusiginwa, mtamu sana.
Mh huu mchanganyiko sijawahi kuhusikia, je ni wa mkoa gani?
 
Aiseee! Mkuu umegusa mule mule, Kiporo cha wali na maharage nazi na chai ya maziwa ni kitamu hakuna mfano
 
Tena wakati unakipiga ile asubuhi wali usipashe ila yale maharage yapashe utakuja kunishukuru hapa
 
Wewe pekee ndio umejibu swali wengine waliobaki ni typical foolish Tanzanians.
 
Wewe pekee ndio umejibu swali wengine waliobaki ni typical foolish Tanzanians.
Sure mada ilikuwa inahusu swali kwenye upande wa pathophysiology ya kiporo. Tunajua kiporo kinakuwa kinauchachaji fulani na kuchacha ni bacteria, sasa ni kitu gani cha kiphysiologia na kipathogia kinachosababisha kiporo badala ya kuwa kibaya SABABU YA VIBACTERIA VIDOGO VIDOGO VINAVYOANZA KUOTA NA KUZALIANA ndio kwanza kinakuwa swadakta.

Jamaa kajaribu kujibu swali vizuri sana. Kaenda shule kwelikweli sikutegemea na mimi nimeburudika kwa elimu hii.
 
Shart lake usile kwa kutumia kijiko.

Tumia mkono alafu huku mkono unaulamba.
Yani ninyi mnaojifanya wa kishua ndio mnakula hadi kesho na wengine leo hii mmekula uporo.

Ku**make kiporo....
Tena umepatia, hawa jamaa wanaojifanya wa Kishua , eti New York, London etc. Nakuhakikishia asilimia zaidi ya 90 wanakula kiporo na ni mara chache kula chakula fresh food, labda avizie restaurant kama ana shift ya kuhudumia

Bwana eh! kwani shillingi ngapi? ngoja niwasanue tu kwani na sisi si tulikosea njia tukapita kwa miaka fulani huko ila kitambo tuko Bongo tunakula vumbi na kuinjoy kinoma.

Sasa wao wakinunua nyama (beef) huko majuu, au samaki; hivi ni vyakula ni very expensive ukiondoa makuku ya broiliers . Wanachofanya wanakata tuvipande tudogotudogo na kupika kwenye sefuria kubwa, then wanagawa kwenye vicontainer vidogovidogo, hiyo ndio inakuwa mboga ya wiki nzima au wiki mbili. Ukipikwa msosi mwingi unagawanywa the same, jamaa anaweza kula kiporo hichohicho wiki nzima.

Siwalaumu kwa sababu ya kazi nyingi za shift kuanzia asubuhi mpaka usiku; yaani mda wa kupika hakuna, na fedha za kula hotelini ni shida kwanza huwezi, very expensive, hapo anatakiwa kulipa health insurance ambayo inakula zaidi ya 20% -30% of his/her monthly income, kodi ya nyumba inakula 15-25% ya monthly earning, umeme, maji, maji taka, usafi , internet na simu, hujaweka usafiri na mafuta kama umejitutumua, zaidi utaishia kwenye matreni na daladala etc. Halafu wakija huku eti wanakinyanyapaa kiporo , kwenda huko....
 
Kama kuna uhakika kwamba kuna wali maharage kwa nazi ulibaki usiku uliopita asubuhi ya leo hakuna hata mtoto anae enda kucheza hata baba mwenye mji hachezi mbali utakuta anafyekeo lake anasafisha mazingira hapo nyuma (hii ni kwa familia masikini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…