Watanzania tuache kulalamika na tutafute taarifa sahihi ili kujielimisha na kujiongezea maarifa.......
Road reserve zipo chini ya TANROADS na wakati mwingine hukodishwa kwa watumiaji Kwa masharti ya kuwa hutafidiwa chochote kwa wakati wowote mamlaka ikihitaji kutumia eneo lao.....
Kwa maana hiyo unaweza kujenga leo na mamlaka ikaamua kukitumia kesho hivyo imekula kwako.......
Inawezekana kukawa na ukiritimba kama ilivyo kwenye taasisi za kiserekali lakini tunatakiwa tutafute taarifa ili tuukosoe utaratibu uliowekwa na sio utekelezaji wa taratibu zilizowekwa......