Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

Yule amepanga eneo la Tanroad kwa muda fulani, anawalipa Tanroad hela, siku wakitaka tumia eneo anapewa notice anaondoka bila kudai chochote
Ni kama lile eneo pale kinondoni ilipokua.."Shishi food"
 
Watanzania tuache kulalamika na tutafute taarifa sahihi ili kujielimisha na kujiongezea maarifa.......

Road reserve zipo chini ya TANROADS na wakati mwingine hukodishwa kwa watumiaji Kwa masharti ya kuwa hutafidiwa chochote kwa wakati wowote mamlaka ikihitaji kutumia eneo lao.....

Kwa maana hiyo unaweza kujenga leo na mamlaka ikaamua kukitumia kesho hivyo imekula kwako.......

Inawezekana kukawa na ukiritimba kama ilivyo kwenye taasisi za kiserekali lakini tunatakiwa tutafute taarifa ili tuukosoe utaratibu uliowekwa na sio utekelezaji wa taratibu zilizowekwa......
 
Huwa napenda kujua kituo hiki ni cha nani. Kwa nini kilijengwa mara baada ya Rais Magufuli kufariki na Rais Samia kuingia madarakani? Ni mali ya nani? Kina kibali cha kuwa pale? Mamlaka zinasemaje kuvunja sheria hadharani? Ni kweli tuonao utawala bora sisi?
 
Back
Top Bottom