dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
huu uzi hauna picha, na ule uliorudiwa hauna picha pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sijawahi kuisikia kablaUFAFANUZI KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA)
Kituo kimejengwa kwenye road reserve kwa makubalino ya kisheria na utaratibu baina ya wamiliki na TANROADS
Hivyo,EWURA inapotoa kibali cha ujenzi wa kituo cha mafuta katika eneo fulani,huwa imejiridhirisha kwamba vigezo vyote vimezingatiwa.
Ukistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa Rupeez Oil ndio kipo jirani zaidi ya barabara.
Je, ni nani alieruhusu huu ujenzi? Mbona mbele kidogo tu ya hicho kituo kuna sheli nyingine ilifungwa na hadi leo haijaruhusiwa? Vituo kama vinne hadi kufika pale Mbezi kwa Yusuf mbona vyote vilifungwa imekuaje hawajaruhusiwa na kwanini hiki kituo kipya kinajengwa tena bila aibu?
Au ndio zama za double standards zinarudi kwa kasi?
======
UPDATES: 18 Nov 2022
======
UFAFANUZI KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA)

Yule amepanga eneo la Tanroad kwa muda fulani, anawalipa Tanroad hela, siku wakitaka tumia eneo anapewa notice anaondoka bila kudai chochote
Upo utaratibu unapanga kwa tanroad unawalipa wao.
Hivo vituo vyte unaona vimesimama wameshindwa masharti.
Mfano hai cha SuCa kile. Mmiliki alikua bwana mmoja judge wa zamani kidogo, yeye inaonekana kagoma kupanga maana eneo ni lake long time. Hawezi panga na kufawana mzgo na tanroad. Wapo wa temboni. Wapo ambao wao wameona potelea pote. Wapo walioona wanunue maeneo wajenge nje ya hifadhi mfano ni stopover upande wa pili na kwamsuguri.. rupees hawajawa na presha ya masharti.
Tumetoka wamu ya tano, tuko awamu ya nne sasa.
Usinichoshe kama hujaelewa maelezoEneo lile halitakiwi kuwa na kituo cha mafuta
Apostle Kuna muujizaUkistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa Rupeez Oil ndio kipo jirani zaidi ya barabara.
Je, ni nani alieruhusu huu ujenzi? Mbona mbele kidogo tu ya hicho kituo kuna sheli nyingine ilifungwa na hadi leo haijaruhusiwa? Vituo kama vinne hadi kufika pale Mbezi kwa Yusuf mbona vyote vilifungwa imekuaje hawajaruhusiwa na kwanini hiki kituo kipya kinajengwa tena bila aibu?
Au ndio zama za double standards zinarudi kwa kasi?
======
UPDATES: 18 Nov 2022
======
UFAFANUZI KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA)
Kituo kimejengwa kwenye road reserve kwa makubalino ya kisheria na utaratibu baina ya wamiliki na TANROADS
Hivyo,EWURA inapotoa kibali cha ujenzi wa kituo cha mafuta katika eneo fulani,huwa imejiridhirisha kwamba vigezo vyote vimezingatiwa.
Acha Tuone Nani Mbabe SasaHatimaye kamati ya kudumu ya bunge imeamrisha kituo kivunjwe, je ni sahihi??
Mupe.....Muruke....Nchii imejawaa na vituko
![]()
Kituo kilichojengwa hifadhi ya barabara chaundiwa kamati
Wakati kukiwa na malalamiko ya kituo cha mafuta kujengwa kwenye hifadhi ya barabara eneo la Kimara Stop Over, Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), wamesema suala hilo limeenda ngazi za juu.www.mwananchi.co.tz
Kama sio yeye Ni Cha linze.Labda ni cha bwana Lameck Madelu
Hivi kilijenngwa baada ya mfu kwenda kuzimu au kabla?Sasa hizi zama si waruhusiwe wote warudishe vituo vyao? Na waliovunjiwa nao warudi basi