Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?