stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
tunafaidika viongozi wa chadema wakijenga nyumba nzuri na hoteli kupitia tone toneHivi UWT huwa mnanufaika na nini kwenye chama zaidi ya pombe na nyama?
tunafaidika viongozi wa chadema wakijenga nyumba nzuri na hoteli kupitia tone toneHivi UWT huwa mnanufaika na nini kwenye chama zaidi ya pombe na nyama?
UWT ni muda wenu wa kuvunatunafaidika viongozi wa chadema wakijenga nyumba nzuri na hoteli kupitia tone tone
si umeona hoteli zinavopendeza lakini, saahv mbowe anaishi kwenye ikulu yake moshi vp wewe mkunja ngumiUWT ni muda wenu wa kuvuna
yaani ccm awe na wivu na chadema unajua ccm ni chama namba ngap duniani, ebu kwanza kula chuma iki
View: https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
aliekwambia hatujiamini nanKwa nini hamjiamini kama ccm ni chama kikubwa duniani"?