stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
hukumskia slaa akielezea wauaji wa chadema?Bora kuliko kuua na kuteka

Upevu wa akiliKila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
Walimuua nanihukumskia slaa akielezea wauaji wa chadema?
SahihiSisiemu ni laana kwa taifa
slaa ndo alisema na aliandika kitabu kabisaWalimuua nani
UWT mnashangilia maujihukumskia slaa akielezea wauaji wa chadema?
Kiweke hapa wote tusome ndio tujadilianeslaa ndo alisema na aliandika kitabu kabisa
HAtari sanaKila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
Nikupe mifano mingapi?Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
CCM ni Chama Cha Majambazi.Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
SISIEMU ni chama cha Watekaji ,haukumsikia yule jamaa wa kagera alivyoaambia wakiwapoteza watu polisi wasiwatafute?Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
Ujinga tu mkuu, ccm ni chama kama vyama vingine ,sema hujikuta sana, ni sasa ccm kuwa na mwenyekiti wa chama ambae sio Rais , hawanaga haibu hawa jamaa ,Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
CCM kwa sasa ni chama cha mashetani. Shetani siku zote yupo kwaajili ya kumwangamiza mwanadamu. Hivyo si jambo la ajabu kuona chama hiki chenye mlengo wa kishetani, kufanya mauaji.
Umeandika kinyonge sana.chadema ukiwakosoa unaitwa msaliti na unatengwa
Usingemjibu mjinga kama huyu hajui hapa ana reckon kaifunga mpira juu ya mizizi ya mwembe hajui amani I alindwa na chama kipi au mwenzetu la tatu C diamond anaimba si jini siAnayemiliki vyombo vya dola ndo wakuomuogopa.
kinoma, ila oktoba mwendo ule uleUmeandika kinyonge sana.