stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
video umeiskiliza lakini?CCM ni watekeji na wauji
video umeiskiliza lakini?CCM ni watekeji na wauji
Sina muda mchafu mkuuvideo umeiskiliza lakini?
chadema akili zenu wote zko sawaSina muda mchafu mkuu
CHADEMA si imekufa au bado ipo?chadema akili zenu wote zko sawa
mada ni watekaji si umewaonaCHADEMA si imekufa au bado ipo?
Watekaji wapo CCMmada ni watekaji si umewaona
kwahio video imesema ccm? 🤣 🤣Watekaji wapo CCM
Ndiyo kazi yenu kuteka na kuua watukwahio video imesema ccm? 🤣 🤣
ngoja uone chama kipya cha upinzan kikishapatikan kama kutakua na utekaji, chadema mnateka watu sanaaNdiyo kazi yenu kuteka na kuua watu
Muhulize yule chief Godlove ana jibu la swali lakoAliyewavisha hawa watoto wa mitaani tshirt za OCTOBER TUNATICK ni nani?
Haoni kwamba huu ni ukiukwaji wa haki za watoto?
mbona hata umri wa kushiriki siasa bado jamani kwa hawa madogo?
sasa kuna tofauti gani kati ya mtoto wa Tanzania aliyevelishwa tshirt kwa lazima na yule aliyevishwa silaha kule DRC?
UWT kazi yenu kukata viuno kwenye mikutanongoja uone chama kipya cha upinzan kikishapatikan kama kutakua na utekaji, chadema mnateka watu sanaa
WATEKAJI MNAPENDA SANA KUJIFARIJIngoja uone chama kipya cha upinzan kikishapatikan kama kutakua na utekaji, chadema mnateka watu sanaa
vp ushachangia tone tone?UWT kazi yenu kukata viuno kwenye mikutano
kwan si tushawaonyesha watekaaji ni wakina nanWATEKAJI MNAPENDA SANA KUJIFARIJI
Halafu wanaotumika kutisha wakosoaji ni masikini wa kutupwa!Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
CCM mnaona wivu wajinga wakubwa nyievp ushachangia tone tone?
yaani ccm awe na wivu na chadema unajua ccm ni chama namba ngap duniani, ebu kwanza kula chuma ikiCCM mnaona wivu wajinga wakubwa nyie
yaani ccm awe na wivu na chadema unajua ccm ni chama namba ngap duniani, ebu kwanza kula chuma iki
View: https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144