Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
CCM kuvunja sheria na katiba ni kawaida snAliyewavisha hawa watoto wa mitaani tshirt za OCTOBER TUNATICK ni nani?
Haoni kwamba huu ni ukiukwaji wa haki za watoto?
mbona hata umri wa kushiriki siasa bado jamani kwa hawa madogo?
sasa kuna tofauti gani kati ya mtoto wa Tanzania aliyevelishwa tshirt kwa lazima na yule aliyevishwa silaha kule DRC?
Pascal Mayalla hapa ndugu naomba usipite bila kutuia neno kwenye hii comment kuhusiana na kichwa cha habari hapo juuwewe kumpiga mzazi ni kosa na utapata laana ila mzazi kukupiga wewe ni jambo jema na sifa kubwa sana kukurekebisha
kwa paskali neno ni gazetiPascal Mayalla hapa ndugu naomba usipite bila kutuia neno kwenye hii comment kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu
Kweli kabisa. watoto wa mtaani ni kundi lililotupwa kabisa na serikali. kuanzia wilaya mpaka manispaa na halmashauri kote nchini hakuna bajeti kwa ajili ya watoto hawa (idara ya ustawi) haina kabisa bajeti miaka na miaka hili limekuwa linaimbwa bila mafanikio.CCM kuvunja sheria na katiba ni kawaida sn
chadema ukiwakosoa unaitwa msaliti na unatengwaCCM wanateka na kuua
mkuu kuna sababu moja tu na ya hovyo. CCM ni chama dola. kimekua kikiishi kwa kutegemea nguvu za dola. kutokana na maovu yanayotendwa na dola, dola imekuwa ikitumia njia agressive kukandamiza watu ili kupata uhalali wa kubakia madarakani.Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
Ndugu Kinoamiguu , tafadhali naomba uweke picha au picha mjongeo ili tuweke kumbukumbu sawa na ushahidi vizuri.Aliyewavisha hawa watoto wa mitaani tshirt za OCTOBER TUNATICK ni nani?
Haoni kwamba huu ni ukiukwaji wa haki za watoto?
mbona hata umri wa kushiriki siasa bado jamani kwa hawa madogo?
sasa kuna tofauti gani kati ya mtoto wa Tanzania aliyevelishwa tshirt kwa lazima na yule aliyevishwa silaha kule DRC?
Ni kwasababu ccm ndio wenye nchi💯.Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa kuwa inapenda amani inatajwa kama chanzo cha kudhuru watu wakati CHADEMA inayosemwa na CCM kuwa watu wa vurugu ndiyo wanaoongoza kutukanwa na kunenewa mabaya?
Sisiemu ni laana kwa taifawewe kumpiga mzazi ni kosa na utapata laana ila mzazi kukupiga wewe ni jambo jema na sifa kubwa sana kukurekebisha
Bora kuliko kuua na kutekachadema ukiwakosoa unaitwa msaliti na unatengwa
CCM ni matapeli tupuKweli kabisa. watoto wa mtaani ni kundi lililotupwa kabisa na serikali. kuanzia wilaya mpaka manispaa na halmashauri kote nchini hakuna bajeti kwa ajili ya watoto hawa (idara ya ustawi) haina kabisa bajeti miaka na miaka hili limekuwa linaimbwa bila mafanikio.
sasa leo unapo wavalisha tshirts za OCTOBER Tunatiki manake unataka KUWATUMIA HAWA WATOTO KWA SHUGHULI NA MANUFAA YA KISIASA
Hatuna mahakama hata kidogoShida iliyopo ni moja tu! Hicho chama kwa sasa kimetekwa na kundi la wahuni. Na hao ndiyo wanao endesha hivyo vitendo vyao viovu vya kutisha watu, kuteka, kuua, kufunga, kupoteza, kubaka, kupiga, nk.