Kwanini kuikosoa CHADEMA inawezekana lakini CCM watu wanatishiwa?

Upevu wa akili
 
HAtari sana
 
Nikupe mifano mingapi?
 
CCM ni Chama Cha Majambazi.
 
SISIEMU ni chama cha Watekaji ,haukumsikia yule jamaa wa kagera alivyoaambia wakiwapoteza watu polisi wasiwatafute?

Gwajima alitoa mwarobaini kukomesha UTEKAJi lakini Wana SISIEMU walimjia juu hadi kufungiwa makanisa ,bado tu haujaelewa?
 
Ujinga tu mkuu, ccm ni chama kama vyama vingine ,sema hujikuta sana, ni sasa ccm kuwa na mwenyekiti wa chama ambae sio Rais , hawanaga haibu hawa jamaa ,

Inawezekana vipi Rais ndo awe mwenyekiti wa chama hata kama chama ndo kimemtoa Rais ambae ni wa watu wote namanisha wanachama wa ccm, wasiokua na vyama ,na wanachama wa vyama vingine? Uhuni tu
 
CCM kwa sasa ni chama cha mashetani. Shetani siku zote yupo kwaajili ya kumwangamiza mwanadamu. Hivyo si jambo la ajabu kuona chama hiki chenye mlengo wa kishetani, kufanya mauaji.
 
Anayemiliki vyombo vya dola ndo wakuomuogopa.
Usingemjibu mjinga kama huyu hajui hapa ana reckon kaifunga mpira juu ya mizizi ya mwembe hajui amani I alindwa na chama kipi au mwenzetu la tatu C diamond anaimba si jini si
Msukule pengine hujielew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…