Kwanini kuikosoa CHADEMA inawezekana lakini CCM watu wanatishiwa?

ukikosoa chademe ujiandae kurushiwa matusi ya kila sampuli, Mda mwengine nawaza hawa jamaa kama wangekuwa na madaraka wangefanyaje.
 
Ndani ya CCM kuna dola, ukizubaa wanaondoka na kichwa hata kama na wewe ni kada wao.

Mzee wa Nazaleti jadi leo analilia tumboni baada ya kauli yake ya mikopo.
 
Muhulize yule chief Godlove ana jibu la swali lako
 
Halafu wanaotumika kutisha wakosoaji ni masikini wa kutupwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…