Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

Jenga ukouko nje ya mji pangisha, ombea mkopo iyo nyumba uendeleze biashara rejesho unalipa Kwa Kodi na faida yako ktk biashara baada ya mda unakua umemaliza napia by that time kama familia nayo imekua unaweza amia kwenye nyumba yako !!
 
Ili maisha yawe rahisi unahitaji kutumia kidogo kuliko unacho ingiza. Uwekezaji unahitaji muda na mtaji, katika elimu ya biashara KUFILISIKA sio Jambo la ajabu mkasiriamali wa ukweli hata akifilisikaa anapambana na kuinvest Tena zaidi anajifunza kutokana na lile anguko.
Sasa kwenye ujenzi. Katika kutafuta maisha inatakiwa uishi KULINGANA na kipato chako,lakini pia ni muhimu kupunguza gharama za maisha hapa ndipolinapokuja swala la ujenzi kwa maisha ya mtanzania e.gmfsnyakazi mwenye kipato Cha 1 m kwa mwezi au mfanyabishara mwenye faida ya 5 m kwa mwezi. Au hata chini ya hapo mbinu rahisi ya kuishi KULINGANA na kipato chako ni kujenga nyumba. Kwanza familia inakuwa salama halafu ni rahisi KUPATA DIRE CTION mpya ya maisha. Mara nyingi viwanja vinapatikana nje ya mji huko ndio kunA fursa zaidi, Kwa mazingira ya Afrika kujenga ni kitu rahisi mno tofauti na uzunguni.
Halafu kwa kipimo Cha uvumilivu na kufocus mtu aliyeweza kununua kiwanja na kujenga hata vyumba viwili akikomaa anaweza ku invest tatizo ni exposure tu ishu ya kujiajiri au kukomaa ili ubadili mmfumo wa maisha unahitaji.
NB, MIMI NI SHABIKI MKUBWA WA ROBART KIYOSAKI RICH DAD...ILA KWA UPANDE WETU AFRIKA NINAONA KUNAUMUHIMU WA KUWA NA NYUMBA.
 
Nimenunua nyumba mbili nikavunja. Moja nimejenga nikamaliza Naishi na familia. Nyingine bado sijamaliza nishaezeka bado finishing tu ila plasta nimepiga na wiring nusu. Why umeuliza Manzese kama kuna viwanja?
Duh umejilipua kuishi uswahili maana manzese ni uswazi jamani kaaah
 
Duh umejilipua kuishi uswahili maana manzese ni uswazi jamani kaaah
Uswahili utake mwenyew niko ndani ya fence na mambo yangu. Ukitaka kufatilia ya nje lazima upate kaz. Alafu mbona kuzuri nyumba yangu iko Road near Sinza
 
Na siku mkeo atakapopigwa pu*mb na kashikaji fulani humohumo kwenye kachumba kako kamoja, ndio utajua kuwa watu hawatakiwi kujenga kwa kuogopa kupigiwa wake zao.

Hiyo haiwezi kuwa sababu makini ya kwanini mtu ajenge.
Nyumba za kupanga Ni manyanyaso Sana,,

Labda uwe bado kwenye nyumba ya urithi.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Changamoto yako(siyo tatizo)una mawazo ya Kihindi.
 
Uloyoandika yana mantiki sana ila kwa vile wengi tumekariri tutakupopoa sana

Kiukwel ni vzur kuendeleza kile unachokifanya kabla ya kuanza ujenzi

Haipendezi kuwa kwenye nyumba kali wakati huo unapiga miayo ya njaa
 
Mmekuja na mihemko lakini point yangu ya msingi ilikuwa ni kwamba kwanini watu wanawaza kuanza kujenga kabla hawajamiliki uchumi mkubwa
Nyumba ni uchumi... Kwa sisi tuliozaliwa DSM Kwa mfano Sinza miaka ya 80's ilikuwa mashamba ya mpunga na mtu angeweza kupata eneo kirahisi. Leo kiwanja ni milioni 300-500.
 
Bora tu wejenga kulikoni mikodi na kero za kipuuzi

Ni vyema San kujenga ila isiwe kwa pupa mdg mdg pesamingi akeza kwenye mlbaiashara

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kosa kubwa Sana hakikisha tafuta kiwanja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Siyo fixed assets Ni fixed liabilities
Asset is something you own. Kama ningekuwa nimepanga au nimenunua kwa mkopo nadhani ingekuwa liability. .

Very interesting discussion πŸ‘ πŸ‘Œ
 
Ukikutana na mtu aliesomea Mambo ya Uhasibu,atakwambia kuwa asset,nikitu ambacho unakimiliki na kinakuingizia pesa
Nyumba inaweza kuwa assets na inewza kuwa liabilities. Inategemea na scenario
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…