Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums.......

1. adriz
2. Bila bila
3. Daudi Mchambuzi
4. Bujibuji Simba Nyamaume
5. Shunie
6. Arovera
7. MINOCYCLINE

Nimekaa pale tayari kabisa kusoma Comments zenu wale msiojiita Madaktari wa Falsafa na Mlioanza Kujiita ghafla Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums.

Ukiona umetupa Jiwe Gizani na ukasikia Kilio cha Mtu Kulalamika jua limempata kisawasawa.

Na Wazungu hupenda husema Message Sent and Delivered mliosoma mtanisaidia Kunitafsiria hapo.
 
Na wewe jiite;

Dr Piwa (pombe) kalimati taledended fella..

Kama unauwaza sana huo uDr wetu basi nawe badili tu ID. Uzuri ni kuwa hatupo hapa kumuimpress yeyote.
 
Kuna mbuzi itakuwa inatafutwa hapa, ngoja nisubirie kama itajitokeza
Fq85p5yWcAAE7eK.jpeg.jpg
 
Ule uzi wako wa wajenzi wanafiki wanaojenga nyumba za yule mwamba aliyeacha legacy kubwa uko wapi, mbona siuoni? Halafu naona umejiorodhesha hiyo namba 7
 
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums.......

1. adriz
2. Bila bila
3. Daudi Mchambuzi
4. Bujibuji Simba Nyamaume
5. Shunie
6. Arovera
7. MINOCYCLINE

Nimekaa pale tayari kabisa kusoma Comments zenu wale msiojiita Madaktari wa Falsafa na Mlioanza Kujiita ghafla Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums.

Ukiona umetupa Jiwe Gizani na ukasikia Kilio cha Mtu Kulalamika jua limempata kisawasawa.

Na Wazungu hupenda husema Message Sent and Delivered mliosoma mtanisaidia Kunitafsiria hapo.
Ongeza
 
Hii Vita tunajua uliyemlenga zaidi.dk matola .ngoja aje tuendelee kushuhudia mpambano wenu,Vita yenu ni kama palestina na Israel
Kumbe nae Siku hizi anajiita Title ya Dk? Nilikuwa sijui kabisa. Hongera zake na Title hiyo.
 
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums.......

1. adriz
2. Bila bila
3. Daudi Mchambuzi
4. Bujibuji Simba Nyamaume
5. Shunie
6. Arovera
7. MINOCYCLINE

Nimekaa pale tayari kabisa kusoma Comments zenu wale msiojiita Madaktari wa Falsafa na Mlioanza Kujiita ghafla Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums.

Ukiona umetupa Jiwe Gizani na ukasikia Kilio cha Mtu Kulalamika jua limempata kisawasawa.

Na Wazungu hupenda husema Message Sent and Delivered mliosoma mtanisaidia Kunitafsiria hapo.
Tutajuaje kuwa hao unaoona ni madaktari ni feki kama Msukuma na Taletale au Kikwete?
 
Back
Top Bottom