Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums.......
1.
adriz
2.
Bila bila
3.
Daudi Mchambuzi
4.
Bujibuji Simba Nyamaume
5.
Shunie
6.
Arovera
7.
MINOCYCLINE
Nimekaa pale tayari kabisa kusoma Comments zenu wale msiojiita Madaktari wa Falsafa na Mlioanza Kujiita ghafla Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums.
Ukiona umetupa Jiwe Gizani na ukasikia Kilio cha Mtu Kulalamika jua limempata kisawasawa.
Na Wazungu hupenda husema Message Sent and Delivered mliosoma mtanisaidia Kunitafsiria hapo.