Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

Mbona huyo member namba 7 siku iz yupo kmy sanaaa
 
Ule uzi wako wa wajenzi wanafiki wanaojenga nyumba za yule mwamba aliyeacha legacy kubwa uko wapi, mbona siioni? Halafu naona umejiorodhesha hiyo namba 7
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu Genta acha kutuzingua, huyo MINOCYCLINE si ndo ni wewe mwenyewe au?
 
Hapa mimi najua anatafutwa @Matola. Dr Matola PhD umeanzishiwa uzi huku mkuu, Kwa heshima kubwa kabisa nakualika uje kujibu hoja.
Acha ramli chonganishi hili litakalofuata hapa sio atomic ni Nuclear power cc 10,000 ยฐ
heavy capacity na itakua end of civilization
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ