Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
UongoMkuu inabidi uzae mwanao mwingine au mjukuu ili uendelee kura haki yako.Ukichagua CCM ujue hata wewe watakutoa kama beneficiary.Ukichagua LIssu basi mambo yatakuwa sawa.TUNA JAMBO LETU 28OCTOBER
Watoto wake inaonesha hawakui, inawezekana na yeye bado anatumia kadi ya baba yakeNenda na vitambulisho kuwa anasoma.
pili taifa lolote lina kiwango cha umri kuwa ni mtu mzima na watoto kwenye mahesabu wasipoyatumia hayo yatawadondosha.
Usijibu kirahisi hivyo....Hudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
uongo ni upi sasa?Uongo
Uko sahihi lakini huoni wataja teseka watu anaowajua (damu yake mtoa mada) kuliko hao asiowajua.Hudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Mkuu, NHIF wana utaratibu wa kufuata ili huyo mtoto aendelee kutumia bima ya mzazi wake , kama yupo chuo wana utaratibu wao, kuwalaumu NHIF kwenye hili jambo sio sawa, wao ni watekelezaji tu wa miongozo, sera na sheria zilizopoHapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka
Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna
Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi
Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa
AndamanaMjinga wewe
Anyways, labda aje ajibie muhusika mwingine kwa namna ngumuUsijibu kirahisi hivyo....
Hapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka
Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna
Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi
Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa
Una hamu ya kufaidika na bima ya afya?Hata wa ndugu wanakataa wanataka watoto uliowazaa wewe mwenyewe, na kama wa ndugu uwe umemuasili, yaani inatia sana uchungu.
Mimi ninakatwa ila hakuna anaefaidika imebidi tu niwe na kadi mbili moja ninayokatwa mimi nyingine kwa kupitia Mr. atleast nipooze machungu
we kweli unatuchekesha tulionuna, kwani yametokea kwenye uongozi wa Lisu Hadi tumpe Magufuli?Ndiyo maana tunasema chagua Magufuli ili aondoe huu uonevu kwenye NHIF