HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Sio la kishetani bali ni la kijingaHili wazo tu watasema la kishetani
Mtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwaKwanini unataka kuruhusiwa wakati hujakatazwa?
Wewe hapo ukiamua kubadili dini yako kuna sheria inakuzuia?
Umelewa ngoja tukuacheSio la kishetani bali ni la kijinga
Atachaguaje kitu asichokijua? labda ungesema apelekwe dini zote kabla hajafikisha miaka 18 ndio aje achague itakayomfaa au aachane nazo zoteMtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwa
Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi kubwa akawa na akili timamu.HAKUNA MUNGU! DINI NI UTAPELI!
Watu mbona wanabadili dini na wengine wanaingia kuamini dini ukubwani.Ikiwa hivyo,
Dini zote zitakosa waumini,
Ni ngumu Sana kumhubiria mtu mwenye akili na uwezo wa kuhoji
Kubadili kabila haiwezekani kwa sababu ya Kabila lina vitu vingi linajumuisha ethncity, mila, asili na vinasaba.Mbona inaruhusiwa! Kubadili kabila tu ndio......
Vipi mkuu, umechoka kubeba msalaba wa jumuiya mtaani?..mninga mzito,wangetenezea seplasMtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwa
Siyo ngumu, inategemea na unachohubiriIkiwa hivyo,
Dini zote zitakosa waumini,
Ni ngumu Sana kumhubiria mtu mwenye akili na uwezo wa kuhoji
Mbona vyama vya siasa vinahitaji mtu asiye chini ya miaka 18 na wanajiunga baada ya kusikiliza sera za chama husika?Ikiwa hivyo,
Dini zote zitakosa waumini,
Ni ngumu Sana kumhubiria mtu mwenye akili na uwezo wa kuhoji
Kwenye vyama mbona inawezekana kuchagua ukiwa ja miaka 18?Atachaguaje kitu asichokijua? labda ungesema apelekwe dini zote kabla hajafikisha miaka 18 ndio aje achague itakayomfaa au aachane nazo zote
Mpaka anafika hiyo miaka 18 teyari ameshachaguliwa vitu vingi na wazazi wake mbali na hiyo dini.Mtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwa