Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Unaeza ukatoa tofauti ya Chama na Dini?Kwenye vyama mbona inawezekana kuchagua ukiwa ja miaka 18?

Hizi akili zingine zinasikitisha sana. Mtz hana muda w kufikiria kabisaKwan kuna mtu amekatazwa kufanya hvy?
Hawa ndio wale watakuja kusema mtoto asipewe jinsia hadi akifikisha miaka 18 ndio ajichagulie jinsia yakeMpaka anafika hiyo miaka 18 teyari ameshachaguliwa vitu vingi na wazazi wake mbali na hiyo dini.
Huu sasa ni ujinga wa kiwango cha reli. Nani kakukataza kuwa ukifikisha huo umri usibadili?Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Huna akili ,basi asipelekwe shule mpaka afikishe miaka 18 ili aweze kuchagu kusoma au kutokusoma?Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Ni kweli kabisa mkuu.Hawa ndio wale watakuja kusema mtoto asipewe jinsia hadi akifikisha miaka 18 ndio ajichagulie jinsia yake
Kwasababu Imani ni lifed experience, uhuru wa kuchagua Dini unao ila most of the times kama msingi waliokujengea wazazi wako unafanya kazi kwanini utapetape?Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Wazee wetu walihubiriwa na wamisionary na walielewa!!Ikiwa hivyo,
Dini zote zitakosa waumini,
Ni ngumu Sana kumhubiria mtu mwenye akili na uwezo wa kuhoji
Kuchaguliwa mke kuchaguliwa dini kuchaguliwa rais nk siyo tatizo tstizo ni kulazimishwa dini kulazimishwa rais kulazimishwa mke ...mtu akikuchagulia kitu ,unayo hiali ya kukataa ila anaye kulazimisha anajaribu kuondoa hiali yako ya kuchaguaHabarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Mbona ukishakuwa mtu mzima hakuna anayekulazimisha uwe muumini wa dini Fulani au wewe mwenzetu umelazimishwaHabarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Watu wana ujinga ujinga mwingi mkuu 🤣Hili wazo tu watasema la kishetani
Thibitisha mkuu 🤣Sio la kishetani bali ni la kijinga
NOMA SANA MKUU...Kuna ndoa imeshindikana kumaterialize nini? Maana Hawa 7th day kiboko unakuta toto kali ila limelewa doctrine za "Mama White", hatoki humo.
Wafia dini hapa hawakuelewi hata Kwa bakoraMtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwa
🤣🤣 Dini bila kuianzia utotoni ngumu Sana kumshawishi mtu na mavuzi yakeIkiwa hivyo,
Dini zote zitakosa waumini,
Ni ngumu Sana kumhubiria mtu mwenye akili na uwezo wa kuhoji
Atapelekwa vipi dini zote kabla ya 18 🤔Atachaguaje kitu asichokijua? labda ungesema apelekwe dini zote kabla hajafikisha miaka 18 ndio aje achague itakayomfaa au aachane nazo zote