Acha zako mkuu 🤣Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi kubwa akawa na akili tumamu.
SahihiMtoto asiabudu dini yoyote hadi afikishe miaka 18 kisha achague baada ya kujua siyo kuaminishwa
🤣 mtoa mada analeta mada ngumu kwa lugha rahisiWatu wana ujinga ujinga mwingi mkuu 🤣
Kuna dini zinasema mtu akiacha dini yake basi akatwe kichwa au apigwe mawe hadi afe, 🤣🤣 hapo unaonaje mkuuWatu mbona wanabadili dini na wengine wanaingia kuamini dini ukubwani.
Hawawezi kumuelewa 🤣 wataleta majibu rahisi Kwa mada ngumu🤣 mtoa mada analeta mada ngumu kwa lugha rahisi
Seplas itaoza mapema mkuu, apambane na huo huo mninga tu hakuna namna 🤣Vipi mkuu, umechoka kubeba msalaba wa jumuiya mtaani?..mninga mzito,wangetenezea seplas
Siasa ni uhuni mkuu 🤣Mbona vyama vya siasa vinahitaji mtu asiye chini ya miaka 18 na wanajiunga baada ya kusikiliza sera za chama husika?
Hawawezi kumuelewa 🤣 wataleta majibu rahisi Kwa mada ngumu
kwani umekatazwa na nani? Si uende Rita ukabadilishe rasmi dini unayoitaka - Christian, Muslim, Hindu, Bahai, Buddhist..... utapokelewa tu pale utakapoelekeaHabarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.
Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.
Nawasilisha!!
"Chama ni kundi la watu wanaoungana kwa kusudi la kushirikiana ili kufikia lengo fulani, ambalo linaweza kuwa la aina nyingi tofauti, kwa mfano: dini, elimu, siasa, sanaa, michezo n.k."Unaeza ukatoa tofauti ya Chama na Dini?
Kunielewa mtu mwenye akili kiduchu kama wewe ni ngumu sana,wapi nimeongelea kubadili dini kama siyo kukurupuka??Mbona ukishakuwa mtu mzima hakuna anayekulazimisha uwe muumini wa dini Fulani au wewe mwenzetu umelazimishwa
Bitimkongwe nimefurahi kuona umeorodhesha imani ya Baha'i, je unauelewa nayo imani hiyo?kwani umekatazwa na nani? Si uende Rita ukabadilishe rasmi dini unayoitaka - Christian, Muslim, Hindu, Bahai, Buddhist..... utapokelewa tu pale utakapoelekea
Acha kihelehele mie naongelea mtoto kutolishwa imani ya wazazi wake hadi atimize miaka 18 ambayo ni mtu mzima kama sheria inavyosema wewe unakurupukia kubadilisha dini,we vipi??NI wewe tu hujaamua kubadili imani yako lakini kwa mujibu wa katiba imeweka wazi uhuru wa kuabudu na mtu kuchagua imani aitakayo...
Hakuna sheria inayomfunga mtu kuendelea na imani aliyoikuta toka kwa wazazi...
Dini inasema mengi mkuu sio kwa wenye kuacha dini tu hata kwa wenye kuzini dini inasema ni nini wafanywe hao watu ila wangapi wanazini na hawafanywi kitu na dini? Na ndio hivyo hivyo hata wenye kuacha dini wengi tu wameacha dini na wanadunda tu.Kuna dini zinasema mtu akiacha dini yake basi akatwe kichwa au apigwe mawe hadi afe, 🤣🤣 hapo unaonaje mkuu