Kwanini kutoa Pesa kwenye Mabenki kutachochea Kuanguka kwa Serikali ya CCM. Katika jicho la Kiuchumi na Sayansi ya Siasa

Kwanini kutoa Pesa kwenye Mabenki kutachochea Kuanguka kwa Serikali ya CCM. Katika jicho la Kiuchumi na Sayansi ya Siasa

Nyumbu kweli hamna akili haya nenda katoe hizo hela
 
Kwenye Uzi wangu nilielezea kuhusu Bima ya Amana inafanya kazi hadi kwenye kile kiwango kinachoweza kulipwa otherwise unagawana hasara na Serikali na Benki
 
Ahsante kwa taarifa, basi hapa baada muda mfupi utakuta post mpya ya kukanusha haya...
Ni kama vile mnatuchezea akili...

Cc: Mahondaw
 
.

Watanzania CCM wameanza kuzuia pesa zenu mmesikia watazuia miamala tarehe 6 hadi 8
 
alafu upeleke wap? kwan nan kakwambia benki wanatunza pesa? pale benki ni credit system ukiweka pesa anapewa mwingine
Ndio maana nasema watch watoe hela.

Ukitoa hela yako, huyo mtu mwingine anakosa mkopo bank inakosa faida, na serikali dhalimu inakosa bond

Hebu soma uzi wote uelewe
 
Ndio maana nasema watch watoe hela.

Ukitoa hela yako, huyo mtu mwingine anakosa mkopo bank inakosa faida, na serikali dhalimu inakosa bond

Hebu soma uzi wote uelewe
pesa zilizopo kwa mfumo wa noti na shillingi ni asilimia 2.7% ya pesa zote zilizopo kwenye mzunguko, unaangusha vp mfumo?
 
pesa zilizopo kwa mfumo wa noti na shillingi ni asilimia 2.7% ya pesa zote zilizopo kwenye mzunguko, unaangusha vp mfumo?
Bank zinafanya kazi kwa njia inayo itwa "Fractional reserve" ukiweka pesa bank 94% inaenda kukopeshwa na 6% inabaki kama deposit.

Sasa watu wengi kwa muda mfupi wakienda kutoa bank, bank inakosa hela za kuwapa wakati huo inabidi inachukue T-bills zake kutoka bank kuu (liquidation) hapa hela nyingi zinaingia kwenye mzunguko wa fedha na Bank zinakosa hela za kukopesha na inabidi waongeze riba, hali ikiendelea bank zinakuwa insolvent na Serikali inakosa mikopo.

Cash zikiwa nyingi sana sarafu inaanguka
 
unaongea ujinga, alafu Benki haifanyi kazi kwa muundo huo, hio inaitwa FRACTIONAL RESERVE LENDING ni mfumo unaotumika katika kukopesha na sio katika uendeshaji, bank zinatoza charges za kila mwezi pamoja na transaction fees kama njia ya mapato pia, na hata leo serikali ikisema kila mtu apewe noti zake ni asilimia 2 tu ya uchumi utakua nje ya mzunguko ofcourse unaweza kuongezwa kwa kuongeza namba tu kwenye mfumo nyie mkabaki na hizo karatasi, kwa kifupi unaongea ujinga
 
Huna akili nenda kasome miongozo ya BoT ndio tujadili
 
Sidhani kama unaelewa madhara mapana ya ku-fail kwa mfumo wa kibenki katika nchi.

Watakao athirika ni raia zaidi kushinda serikali, sumu aionjwi. Samia kujaribu kwa kufanya mauaji hawezi pendwa na watanzania tena hata afanye nini, asafishiki ata kwa dodoki.

Same kufail kwa bank madhara yake story ni ndefu sana kwenye uchumi. Kwa ufupi bank inakopeshea hela za wateja na sehemu kubwa ya asset ni mikopo ukishaua bank umepoteza hela za wateja.

That’s just a start, hili ni wazo la mtu ambae hajui madhara ya ku-fail kwa bank otherwise downside spiral effect sikia tu kuna hyperinflation, kupotea kwa pensions, kukosekana kwa huduma za jamii kama, kusimama kwa shughuli za uchumi.

Hakuna nchi duniani inayoombea ‘bank failure’ sio kwa madhara ya serikali ni kwa kulinda raia kwanza.
Sasa si ndio lengo na madhumuni au?
 
Ukitaka kuangusha Serikali dharimu hakikisha unadhoofisha foreign reserve yake

View: https://www.instagram.com/p/DUJJvSBiKm7

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 30 Januari 2026, imesema ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kusawazisha mizania ya akiba ya fedha za kigeni na siyo kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika katika ofisi za BoT jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa BoT, Bw. Emmanuel Akaro, ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya akiba ya fedha za kigeni nchini.

“Sababu ya Benki Kuu kuuza dhahabu ni kujitoa kwenye vihatarishi vya kuwekeza kwenye dhahabu peke yake. Lazima tuhakikishe uwiano wa dhahabu na fedha nyingine za kigeni kwenye mizania ya Benki Kuu zinaendana na matarajio ya Bodi, matarajio ya nchi na matarajio ambayo hayatupelekea sisi kupata hasara”

Mkurugenzi huyo amefafanua kuwa wastani wa kununua dhahabu wa mwezi ni tani moja na kwa kipindi cha mizezi mitano iliyopita BoT imenunua wastani wa tani mbili,hivyo, kulazimika kuwekeza tani moja ya ziada katika fedha za kigeni mbalimbali.

“Kwa kipindi cha miezi mitano iliyopita kila mwezi tunanunua dhahabu wastani wa tani 2 kwa mwezi ambayo ni kwa mujibu wa sheria. Matarajio yetu mwanzoni yalikuwa ni kununua tani moja kila mwezi kwa hiyo tani moja inayozidi tunaitumia kusawazisha mizania ya akiba za fedha za kigeni”

“Kuna utaratibu wa namna ambavyo Benki Kuu inatoa fedha kwenda serikalini, inapitia Mfuko Mkuu na uidhinishwaji wake unakuwa umefanywa na Bunge na ukiangalia pale hakuna kipengele ambacho kinasema Benki Kuu inaweza kuuza dhahabu ili kuipatia serikali fedha kwa ajili ya kufanya miradi yake”, aliongeza Bw. Akaro.

Hadi kufikia jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.
 
AI Mkuu wala usidanganyike anachofanya ni copy and paste halafu anaediti baadhi ya maeneo. All in all miaka 5 siyo mingi tuvumilieni tu maana CCM wameshaona wapi wamekosea..
Hata ai lazima uwe na akili kuitumia ili upate majibu sahihi, na amedanganya nini, unacho weka hapa utuelimishe
 
Back
Top Bottom