Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaitafuta Fuoni...WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
Bado hujajibu swali. Majibu uliyoyatoa ni fikra za wasiwasi na uoga ambao haujathibitishwa.Zanzibar Ingemezwa dk zero tu baada ya kumezwa vile visiwa vingekua kama mikoa ya bara hata Rais pia angekua wa bara,hapo kwisha kazi.
Mkuu wa wilaya ya kaskazini Unguja angekua Masanja Mayunga.
Mkuu wa wilaya kaskazini Pemba angekua Mwakipesile.
Mbunge angekua Manka Mushi.
Izo fikra za wasiwasi na ouga ndizo hizo zimeibakisha zanzibar kuwa na Rais wake na mambo yake ya nje ya muungano.Bado hujajibu swali. Majibu uliyoyatoa ni fikra za wasiwasi na uoga ambao haujathibitishwa.
Lakini tumeona kwa Utawala wa sasa, mikopo ikipatikana ingawanywa pande zote mbili za muungano kwa asilimia, pakitangwaza nafasi za ajira tumeona Zenzi wakipewa asilimia yao. Unasemaje hapo....Izo fikra za wasiwasi na ouga ndizo hizo zimeibakisha zanzibar kuwa na Rais wake na mambo yake ya nje ya muungano.
mambo ya wasiwasi na ya uoga ambayo katiba ya jamuhuri ya muungano inayatambua kisheria.
Sio nadra tu, bali haiwezekani kabisa mtanganyika kunusa uongozi Zenji 😀WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492
Hata kuwa VEO lakini huku wamegeuza shamba la bibi la kujifunzia uongoziSio nadra tu, bali haiwezekani kabisa mtanganyika kunusa uongozi Zenji 😀
Tuvunje huu muungano fakeLakini tumeona kwa Utawala wa sasa, mikopo ikipatikana ingawanywa pande zote mbili za muungano kwa asilimia, pakitangwaza nafasi za ajira tumeona Zenzi wakipewa asilimia yao. Unasemaje hapo....
Sio kiongozi tu hata kutoka bara kufanyakz zenji haiwezekani isipokuwa kazi za hotel ila serikalini hupati hata huitwi kwenye intervwWanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492
Zanzibar ni tawi la Oman, kwahiyo bado tunatawaliwa kimaficho na ndiyo maana bandari na zile mbuga zimerejeshwa kwaoWanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492
Hapo kwa mimi nasema wajinga ndio waliwao.Lakini tumeona kwa Utawala wa sasa, mikopo ikipatikana ingawanywa pande zote mbili za muungano kwa asilimia, pakitangwaza nafasi za ajira tumeona Zenzi wakipewa asilimia yao. Unasemaje hapo....
Tuuvunjwe huu muungano fake tuna nyonywa snSio kiongozi tu hata kutoka bara kufanyakz zenji haiwezekani isipokuwa kazi za hotel ila serikalini hupati hata huitwi kwenye intervw
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492
Ulikimbia darasa la tatu shule?Zanzibar ni tawi la Oman, kwahiyo bado tunatawaliwa kimaficho na ndiyo maana bandari na zile mbuga zimerejeshwa kwao