Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?

FB_IMG_1695324616134.jpg
 
Zanzibar Ingemezwa dk zero tu baada ya kumezwa vile visiwa vingekua kama mikoa ya bara hata Rais pia angekua wa bara,hapo kwisha kazi.

Mkuu wa wilaya ya kaskazini Unguja angekua Masanja Mayunga.
Mkuu wa wilaya kaskazini Pemba angekua Mwakipesile.
Mbunge angekua Manka Mushi.
 
Bado hujajibu swali. Majibu uliyoyatoa ni fikra za wasiwasi na uoga ambao haujathibitishwa.
 
Mkuu kwani takataka lililotuganda makalioni liitwalo Muungano hulijui? Tanganyika ilikufa Zanzibar haikufa
 
Bado hujajibu swali. Majibu uliyoyatoa ni fikra za wasiwasi na uoga ambao haujathibitishwa.
Izo fikra za wasiwasi na ouga ndizo hizo zimeibakisha zanzibar kuwa na Rais wake na mambo yake ya nje ya muungano.
mambo ya wasiwasi na ya uoga ambayo katiba ya jamuhuri ya muungano inayatambua kisheria.
 
Lakini tumeona kwa Utawala wa sasa, mikopo ikipatikana ingawanywa pande zote mbili za muungano kwa asilimia, pakitangwaza nafasi za ajira tumeona Zenzi wakipewa asilimia yao. Unasemaje hapo....
 
Tuvunje huu muungano fake
 
Unauliza swali kama hujaenda shule bwana! Hivi hujawahi kusikia Zanzibar ni nchi? Sasa unataka ukafanye kazi ughaibuni kirahisi rahisi tu?
 
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?

View attachment 2757492
Sio kiongozi tu hata kutoka bara kufanyakz zenji haiwezekani isipokuwa kazi za hotel ila serikalini hupati hata huitwi kwenye intervw
 
Wakati elimu ya katiba inaendelea na elimu ya Muungano iende sambamba. Watanganyika wengi wamebanwa na huu Muungano na wanataka ku-uharisha
 
Back
Top Bottom