Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

Zanzibar ni chi kama vile Tanzania lakini Bara sio nchi. Hivyo Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar Kiongozo lazima awe Mzazinar na sio Mbara.
 
Duniani kote, watu wa visiwani ni wabinafsi sana sana. Angalia hata Waingereza walivyo.
 
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?

View attachment 2757492
Muungano ni WA serikali mbili, serikali ya jamhuri ya muungano,ambayo nafasi zake za uongizi zinawahusu watanzania wote, serikali ya mapinduzi Zanzibar ambayo nafasi zake ni kwa ajili ya wazanzibar tu.....mkisoma muwe mnadadisi siyo kila kitu kuuliza,tumieni hivyo vichwa siyo vya kuvalia kapelo tu mawigi
 
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?

View attachment 2757492
Kila mzanzibari ni mtanzania lakini si kila mtanzania ni mzanzibari. Kupata uongozi Zanzibar ukiwa mtanganyika si nadra tu bali haiwezekani na huwezi kumiliki ardhi kule ila wao wanaongoza Tanganyika na wanamiliki ardhi bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom