Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano ni WA serikali mbili, serikali ya jamhuri ya muungano,ambayo nafasi zake za uongizi zinawahusu watanzania wote, serikali ya mapinduzi Zanzibar ambayo nafasi zake ni kwa ajili ya wazanzibar tu.....mkisoma muwe mnadadisi siyo kila kitu kuuliza,tumieni hivyo vichwa siyo vya kuvalia kapelo tu mawigiWanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492
Kila mzanzibari ni mtanzania lakini si kila mtanzania ni mzanzibari. Kupata uongozi Zanzibar ukiwa mtanganyika si nadra tu bali haiwezekani na huwezi kumiliki ardhi kule ila wao wanaongoza Tanganyika na wanamiliki ardhi bila wasiwasiWanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
View attachment 2757492