Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Ni ratiba imebadilika, badala ya kula mchana unakula usiku! Na badala ya kula kidogo au kutokula kabisa wakati wa mfungo, unaishia kula sana! Je, huo sasa ni mwezi wa mfungo au wa mlo?

Pamoja na hayo, ni vema kuheshimu imani ya wengine hata kama hatukubaliani nao. Pengine kila dini au imani ina tafsiri yake ya mfungo.
 
Kufunga ni siri ya mtu sio jambo la kutafutia sifa kwamba Kila mmoja ajue kwamba umefunga wala sio matangazo ya kifo utangaze kila mmoja ajue umefunga wanaofunga kimya kimya ndio wanao maanisha funga yao
Mtu Kila akipita mahali " swaumu kaliii'
Jamani swaumu kalii
Ibada gani Sasa hii?
Ibada mpaka mtu anazuia wengine wasile Ibada gani hii?
Ibada si kati yako we na muumba mnaongea wawili ya Nini kumbugudhi wa tatu?

Mtu siku za kawaida unakula kawaida lakini ikifika mfungo unakula utadhani hakuna kesho...Ibada gani hii?
Mnafunga Ibada au mnafunga kula?
 
Mimi naungana na mtoa mada, niukweli ambao unaonekana, kweli mwezi wa ramadhani ni maarufu sana ulimwenguni. kweresima huwa sielewe kabisa inatokaje make si maarufu hata mtikisiko haina??
 
Mfano mzuri ni zanzibar hua nawashangaa ni kwa nini wazuie watu kula hadharani kwenye mfungo wa ramadhani na wakati hawajaweka wazi kama nchi yao ina ongozwa kwa Sheria za kidini ya kiislamu
 
Utapeli umezidi
 
Waijua saumu wewe? Unajua maana ya mfungo? Unajua maana ya nira? Ni kile kifaa kifungwacho shingoni mwa ng'ombe wakati analima. Kwa ujumbe huu ndio mjue ukristo ni level zingine
 
Kubadilisha timetable ya kula nayo unataka iwe ligi. Waislam wengine mnapenda attention ndio maana kwenye mwezi huo mnataka kila mtu ajue mmefunga ilhali hio haina utofauti na unafki.
Funga kwa ajili yako na Mungu wako sio kwa ajili ya wanadamu.
 
Wabadilisha ratiba ya kula wakifunga

Madada poa hawapo
Vibaka hawapo
Majambazi hawapo
Mashoga hawapo


Wakifungulia sasa

Inaonesha hiyo dini ndo imeleta shida duniani
kuna wahuni na machangudoa konk kipindi cha mfungo wao nao hujionesha wamefunga na huvaa kanzu/hijabu/ushungi hata wawapo maofisini eti ni mwezi mtukufu. Ina maana kwao mwezi mtukufu na mmoja tu kwa mwaka mzima, miezi mingine wanaendelea na ushetani wao. Kwa kweli hakuna Mungu anayefungiwa funga hiyo, huo ni upagani tu wala Mungu hatambui funga hiyo, ni ibada ya sanamu
 
Wat makes u kusema hawafungi! Umetumia data zipi?

Kitu kinachoonekana Hapa ni kuwa mnajua Kufunga ni Kuacha kula siku kwa nusu siku
Kuna wanaokula saa 1 usiku wanakunakuja kula tena saa 3 asubuhi je nao wamefunga.
Wakristo wengine ndio hawafungi kula ila wanafunga mambo mengine, Kusali sanaa, kuomba toba, kuombea wale wasioweza kuomba, kufunga dhambi fulani, Matendo.

ila nadhani uelewa huo hakuna hapa
Nasikitika kuona watu wengine Hamjui hata kwanini mnafunga, Au kufturu ndio kufunga?
 
Tofautisha mfungo wa kidhehebu na mfungo wa dini nzima. Wakristo waliofunga ni wa dhehebu la katoliki na baadhi ya madhehebu ya kiprotestant siyo wakristo wote.
 
Mtu anapiga magimbi saa 11 alfajiri na uji mzito atashindwa vipi kukaa bila kula kuanzia asubuhi hadi sa 12 jioni.??!! 😀😀😀
ajabu ukikutana naye saa 7 kalegea ndembe ndembe mdomo umekauka unanuka balaa😁😁😁😁.

unabaki kujiuliza kwani shida ya jamaa zetu huwa iko wapi???
 
Haaahaaa wavaa kobaz wanasubiliwa na mabikra huko mbinguni.mody muda huu anaenjoy tu na mabikra yani tena nasikia hao mabikra wameleft group.
 
soma Nyakati wa 2 SURA 20 AYA 3
 
Ramadhan inaonekana inauzito kwasababu waislam wako serious na ibada yao, wenye kwaresma nao wameamua kupoteza muda mwingi kuiongelea ramadhan.

Hapa yenyewe haijulikan kwaresma imeshaanza au bado ila ramadhan ikianza hata mtoto wa darasa la kwanza anajua
 
Ukweli ndio huo ila lazima watakuja na hoja za kijinga ila kwaresma wakristo wenyewe hawaiheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…