Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

Dogo. Dogo. Umeandika thread kwwasbabu una muda tu au umefatilia hujapata majibu?
Sasa sikiliza. Endelea kumfananishia lucky dube na diamond tu. Ila yeye si muasisi wala hausiki na reggae.
Vp mkuu tunafahamiana?
 

Mtoa mada wanadai eti Lucky Dube alikuwa anaimba Sweet reggae na nyimbo zake ni kama choir, ila Bob Marley and co walikuwa wanaimba Roots reggae, binafsi naona kina Bob watabaki na heshima yao kama waasisi wa reggae ila kwangu Lucky is the best
Waache ushamba ile ni modern reggae pambaf zao
 
Mkuu ukisema Dube muasisi, utakuwa unampa maua zaidi ya anayostahili. Kuna wazee wa zamani walikuwa wanapiga culture hata Bob ni vile tu alikuwa popular sana.

Legend anastahili kabisa, uasisi big no.
U goat je
 
Sawa mkuu
 
Rasta zile zisikuchanganye mtoto mdogo wewe, Dube ni muimba kwaya tu kama Bahati Bukuku.

Dube tunamjua watu wa huku nchi za SADC.

Duniani huko nani anamjua kwa vya maana.
Hujui kitu dogo
 
Sana mkuu,ntawafuatlia
 
Mkuu unafuatilia sana muziki.nakubali
 
Unajua maana na matumizi sahihi ya neno Muasisi au unakurupuka? Ni sawa na useme Samia ni muasisi wa CCM, unaweza kuzabwa vibao.

Kuna akina Alpha Blond, akina Peter Tosh, Bob Marley na wengineo hawa unawaweka wapi?
Sawa mkuu lakini hata U GOAT vp?
 
Mkuu 1973 so tetesi
 
Haujasikiliza nyimbo zakw vema. Huyo Lucky Dube alikuwa na tungo tata enzi za Apartheid hapo South Africa wakati kaburu akiwatesa watu weusi.

Labda utafute nyimbo zake usikilize vizuri neno kwa neno
Mkuu mbona unajichanganya tena? Unapinga au unakubali?
 
Hapa umeongea kitaalamu sasa,ila sometimez unakuaga kama ushabwia maana una opp halafu unaunga mkonyo hoja
 
Ipo hv,Vyanzo vinamtaja kama mwanareggae bora na wa muda wote kwa Afrika ila sio duniani na hapo tuu ndo napata shida mwenzenu
 
Unaelewa maana ya neno MUASISI? Miaka 100 mbele itapotajwa historia ya bongofleva Diamond anaweza asitajwe lakini Sugu na P funk wakatajwa
 
Prisoner alipiga akimaanisha wapambanaji waliokamatwa na kufungwa jela yaani Dube hakuwa mpambanaji aisee sema Wazulu wanambagua Dube kwa kuwa ni Mzimbabwe..
Duh kaa na watu ujue ya watuu..mkuu sijaona popote imeandikwa jamaa mzimb au anaasilli ya huko tupe chanzo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…