mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kikuyu Jaluo na Kalenjin kidogo !!Kenya wana ukabila lakini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikuyu Jaluo na Kalenjin kidogo !!Kenya wana ukabila lakini!
Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!I may not support ubabe wa CCM sometimes ila Rais kuendeshwa na mtu au kikundi cha watu ni ujinga wa kiwango cha lami. Ruto anawalea sana hao jamaa. Rais wa nchi yeyote ile ni cheo kikubwa sana huwezi endeshwa Kiboya.
JPM aliwahi kasema yeye ndo rais the buck stops at his desk, I couldn't agree with him more. Samia mwenyewe watu wanamponda behind the keyboard ila mtaani wametulia kama uji wa Jana.
Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!
Kweli !Alishitakiwa hadi ICC kabla hajawa rais akashinda ndo sembuse sahizi Rais?
Katiba ni makaratasi tu ina nguvu to some degree not absolute. Rais ni cheo kikubwa sana nchi yeyote asikudanganye mtu.
Trump katoka kwenye urais ila bado anawaendesha US, akiwa Rais hawakumgusa kabisa. Na bado atashinda kesi zote.