Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

I may not support ubabe wa CCM sometimes ila Rais kuendeshwa na mtu au kikundi cha watu ni ujinga wa kiwango cha lami. Ruto anawalea sana hao jamaa. Rais wa nchi yeyote ile ni cheo kikubwa sana huwezi endeshwa Kiboya.

JPM aliwahi kasema yeye ndo rais the buck stops at his desk, I couldn't agree with him more. Samia mwenyewe watu wanamponda behind the keyboard ila mtaani wametulia kama uji wa Jana.
Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!
 
Nchi yetu Haina wanaume ! Kenya Eric omondi pekee Huwa anaandamana na kulisimamisha jiji ...kesho wakisikia mlio wa risasi ndio kama unawanywesha petrol! Kenya ni wanaume haswaa hata polisi wakipiga mkwara namna Gani ...asubhi utawakuta wqmeshika mawe wanasonga mbele! Sisi tz hatujapata Bado wanaume ! Bado sisi ni wavulana .......hili la bandari Ingekuwa Kenya balaa lake sijui ingekuwaje
 
Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!

Alishitakiwa hadi ICC kabla hajawa rais akashinda ndo sembuse sahizi Rais?

Katiba ni makaratasi tu ina nguvu to some degree not absolute. Rais ni cheo kikubwa sana nchi yeyote asikudanganye mtu.

Trump katoka kwenye urais ila bado anawaendesha US, akiwa Rais hawakumgusa kabisa. Na bado atashinda kesi zote.
 
Kweli !
 
Back
Top Bottom