Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!
 
Nchi yetu Haina wanaume ! Kenya Eric omondi pekee Huwa anaandamana na kulisimamisha jiji ...kesho wakisikia mlio wa risasi ndio kama unawanywesha petrol! Kenya ni wanaume haswaa hata polisi wakipiga mkwara namna Gani ...asubhi utawakuta wqmeshika mawe wanasonga mbele! Sisi tz hatujapata Bado wanaume ! Bado sisi ni wavulana .......hili la bandari Ingekuwa Kenya balaa lake sijui ingekuwaje
 
Kenya 🇰🇪 Ruto anaweza kushitakiwa maana Katiba inaruhusu !!

Alishitakiwa hadi ICC kabla hajawa rais akashinda ndo sembuse sahizi Rais?

Katiba ni makaratasi tu ina nguvu to some degree not absolute. Rais ni cheo kikubwa sana nchi yeyote asikudanganye mtu.

Trump katoka kwenye urais ila bado anawaendesha US, akiwa Rais hawakumgusa kabisa. Na bado atashinda kesi zote.
 
Kweli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…