Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo.

Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao zimezaa matunda na wanakwenda kwenye mazungumzo na Odinga ametishia tena kuitisha maandamano hayo kama matakwa yao hayatasikilizwa.

Huyu Mzee hata kama hapati nafasi ya Urais but mabadiliko ya kiutawala,democracy na uchumi wa hii Kenya tunayo Iona ni juhudi zake toka miaka ya 80 kipindi cha mzee Moi.

Sasa Uponzani wa Tanzania tatizo ni nini,kwa nini msi copy model za upinzani wa Kenya mbinu walizotumia mpaka kueleweka katika Jamii.

Jumatano hii watakutana tena,
---

Mazungumzo ya kusaka maridhiano Kenya kuanza Jumatano​

Mazungumzo ya Maridhiano nchini Kenya kati ya serikali na upinzani yataanza siku ya Jumatano baada ya wajumbe 10 wa kamati ya pamoja ya mazungumzo hayo kukosa kuafikiana kuhusu mahali yatakapofanyikia.

Wakenya sasa watasubiri zaidi kuona ufanisi wa mazungumzo ya maridhiano yanayolenga kuzika tofauti kati ya serikali na upinzani, baada ya kikao cha leo (Julai 7) kuvunjika.

Hali hiyo inaibua wasiwasi kwenye taifa ambalo watu 30 wameshauawa kwenye maandamano yaliyoongozwa na upinzani kwa majuma mawili.

Kutokana na mvutano wa mahali mazungumzo hayo yatakapofanyikia, imebidi yaahirishwe hadi siku ya Jumatano kulingana na duru kutoka pande zote mbili.

Vyama vyote bado havijakubaliana kuhusu masuala yanayozua utata.

Huku upinzani ukitaka suala la gharama ya maisha kujadiliwa, upande wa serikali ya Kenya Kwanza umekataa ukisema kuwa hiyo ni ajenda ya serikali.

Aidha upinzani unataka matokeo ya uchaguzi yakaguliwe tena, suala ambalo Kenya Kwanza imesema kuwa mahakama ya juu ilishafanya uamuzi.

Ajenda nyengine muhimu
Baadhi ya hoja kwenye ajenda ya mazungumzo hayo ni pamoja na uundaji upya wa Tume ya Kusimamia Uchaguzi, utekelezaji wa kanuni ya jinsia mbili kwa thuluthi mbili, kuimarisha mfuko wa maendeleo ya majimbo, kuundwa na kuimarishwa kwa ofisi ya kiongozi wa upinzani, na kuwekwa kwa ofisi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri.

Kiongozi wa serikali bungeni Kimani Ichung'wah atawaongoza wajumbe wa kikosi cha Kenya Kwanza, wakati kikosi cha upinzani cha Azimio kitaongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper na aliyekuwa Makamu wa Rais, Kalonzo Musyoka.

Lakini hata kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tayari hapo siku ya Jumapili (Julai 6) kiongozi mkuu wa upinzani, Raila Odinga, alisema kuwa iwapo mazungumzo hayo "hayatafanyika na kuzaa matunda yoyote katika kipindi cha siku 30," basi atawangoza wafuasi wake kwenye maandamano mapya.
 
Viongozi wa Kenya wana hofu ya Mungu,Bongo mkijaribu kuandamana watawaua na kuwatia vilema na wala hawatojali.

CCM kwao madaraka ndio kila kitu na wapo tayari kufanya chochote ili mradi tu wao wanabaki madarakani. Hiyo ndio tofauti yetu.
 
Maandamano ya Kenya watu hawafi na kutiwa ulemavu?

Kenya inaweza kuwa kinara kwa police brutality Africa mashariki.
 
President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo.

Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao zimezaa matunda na wanakwenda kwenye mazungumzo na Odinga ametishia tena kuitisha maandamano hayo kama matakwa yao hayatasikilizwa.

Huyu Mzee hata kama hapati nafasi ya Urais but mabadiliko ya kiutawala,democracy na uchumi wa hii Kenya tunayo Iona ni juhudi zake toka miaka ya 80 kipindi cha mzee Moi.

Sasa Uponzani wa Tanzania tatizo ni nini,kwa nini msi copy model za upinzani wa Kenya mbinu walizotumia mpaka kueleweka katika Jamii.

Jumatano hii watakutana tena,
---

Mazungumzo ya kusaka maridhiano Kenya kuanza Jumatano​

Mazungumzo ya Maridhiano nchini Kenya kati ya serikali na upinzani yataanza siku ya Jumatano baada ya wajumbe 10 wa kamati ya pamoja ya mazungumzo hayo kukosa kuafikiana kuhusu mahali yatakapofanyikia.

Wakenya sasa watasubiri zaidi kuona ufanisi wa mazungumzo ya maridhiano yanayolenga kuzika tofauti kati ya serikali na upinzani, baada ya kikao cha leo (Julai 7) kuvunjika.

Hali hiyo inaibua wasiwasi kwenye taifa ambalo watu 30 wameshauawa kwenye maandamano yaliyoongozwa na upinzani kwa majuma mawili.

Kutokana na mvutano wa mahali mazungumzo hayo yatakapofanyikia, imebidi yaahirishwe hadi siku ya Jumatano kulingana na duru kutoka pande zote mbili.

Vyama vyote bado havijakubaliana kuhusu masuala yanayozua utata.

Huku upinzani ukitaka suala la gharama ya maisha kujadiliwa, upande wa serikali ya Kenya Kwanza umekataa ukisema kuwa hiyo ni ajenda ya serikali.

Aidha upinzani unataka matokeo ya uchaguzi yakaguliwe tena, suala ambalo Kenya Kwanza imesema kuwa mahakama ya juu ilishafanya uamuzi.

Ajenda nyengine muhimu
Baadhi ya hoja kwenye ajenda ya mazungumzo hayo ni pamoja na uundaji upya wa Tume ya Kusimamia Uchaguzi, utekelezaji wa kanuni ya jinsia mbili kwa thuluthi mbili, kuimarisha mfuko wa maendeleo ya majimbo, kuundwa na kuimarishwa kwa ofisi ya kiongozi wa upinzani, na kuwekwa kwa ofisi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri.

Kiongozi wa serikali bungeni Kimani Ichung'wah atawaongoza wajumbe wa kikosi cha Kenya Kwanza, wakati kikosi cha upinzani cha Azimio kitaongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper na aliyekuwa Makamu wa Rais, Kalonzo Musyoka.

Lakini hata kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tayari hapo siku ya Jumapili (Julai 6) kiongozi mkuu wa upinzani, Raila Odinga, alisema kuwa iwapo mazungumzo hayo "hayatafanyika na kuzaa matunda yoyote katika kipindi cha siku 30," basi atawangoza wafuasi wake kwenye maandamano mapya.
Very simple question and answer: Ukishaogopa kufa, basi huwezi fika popote katika kuwaondoa wadhalimu CCM. Kenya wanakubali kufa, bila woga kusudi kenya isimame. Wamekufa over 30 vijana.
 
Kenya huwa hawaingizi dini zao kwenye mijadala yao kwa sababu wale jamaa wapo vizuri upstairs !!
 
Sisi ni waoga sana na hatuna ushirikiano na wala maandamano siyo ishu ya Chama chochote cha siasa katika kudai haki
Wabongo wakiwa na ushirikiano katika jambo lolote wapenyezee masuala ya dini dini zao watatawanyika haraka sana !!
Ushirikiano unakuwa Kushney !!
 
I may not support ubabe wa CCM sometimes ila Rais kuendeshwa na mtu au kikundi cha watu ni ujinga wa kiwango cha lami. Ruto anawalea sana hao jamaa. Rais wa nchi yeyote ile ni cheo kikubwa sana huwezi endeshwa Kiboya.

JPM aliwahi kasema yeye ndo rais the buck stops at his desk, I couldn't agree with him more. Samia mwenyewe watu wanamponda behind the keyboard ila mtaani wametulia kama uji wa Jana.
 
Katiba inaruhusu, alafu pia ukabila unawafanya waone kama mbawi na iwe mbwai tu...
 
Back
Top Bottom