Kwanini mabasi yote ya mikoani yana tabia hii?

Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Tumia usafiri binafsi ili kuepuka kupigiwa nyimbo za kumtukuza Mungu
 
Magari mengi hawana tabia ya kuangalia namna Bora ya kuburudisha ... Ila wao huangalia Nini wao( staff) wanataka.. wakati wao sio wateja... Na wateja tunawekwa kundi la wasio na sauti.. wakati ndio Mimi source ya company income toward their salary etc... MUNGU akinipa mtaji hili soko litapata mageuzi makubwa sana!!!!
 
Nani alokwambia staff siyo wateja? Tuna wateja wa ndani na wa nje mkuu,staff ni wateja wa ndani...."mama aminaaaa........."
 
Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Sasa Sheikh unataka wapige nyimbo gani? Maana hao wahusika hawawezi kumridhisha kila abiria kwenye huo usafiri wao!

Wakati mwingine jitahidi tu kuvumilia, kama huna uwezo wa kusafiri na gari lako binafsi. Hata sisi wengine huwa tunavumilia tukipanda zile Tahmeed za kwenda Mombasa. Sasa iweje wewe ushindwe?
 
Back
Top Bottom