Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kwani usinge pandisha mapepo na kuwachapa ngumi hao wenye gariKwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Nunua gari yako binafsi hutasumbuliwaKwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Tumia usafiri binafsi ili kuepuka kupigiwa nyimbo za kumtukuza MunguKwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Hahaaa!Mpe kondakta flash yako ya kaswida bas!!
Mbona kama unamakasiriko Mkuu.Mpe kondakta flash yako ya kaswida bas!!
Unasubiri nini kushuka?Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Ki msingi hawatakiwi kupiga nyimbo yoyote. unyani unawasumbua tuKwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
IMEISHA IYOO (in kidagaa's voice)Hutaki kwaya shuka utembee au nunua gari yako.
Kidagaa mnoma sana analinda kibarua chake😂😂IMEISHA IYOO (in kidagaa's voice)
Nani alokwambia staff siyo wateja? Tuna wateja wa ndani na wa nje mkuu,staff ni wateja wa ndani...."mama aminaaaa........."Magari mengi hawana tabia ya kuangalia namna Bora ya kuburudisha ... Ila wao huangalia Nini wao( staff) wanataka.. wakati wao sio wateja... Na wateja tunawekwa kundi la wasio na sauti.. wakati ndio Mimi source ya company income toward their salary etc... MUNGU akinipa mtaji hili soko litapata mageuzi makubwa sana!!!!
Sasa Sheikh unataka wapige nyimbo gani? Maana hao wahusika hawawezi kumridhisha kila abiria kwenye huo usafiri wao!Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?