Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.

Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli.

Huenda hizo food supplements zina vichocheo vya homoni za kike zinazowasababisha watumiaji watamani kuingiliwa.

Nakushauri tu, ndugu mjenga misuli usiyetaka kuwa shoga, jiepushe na madawa hayo. Kula vyakula vya asili vyenye protini kwa wingi nawe mwili wako utakaa vizuri tu.

Epuka shortcut
 
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndio hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.

Wanadai et mwarabufighter naye shoga. Sasa najiuliza yani dume bila aibu unamtongoza jamaa had anakubali halaf unamband. Really its not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!
 
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndio hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.

Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli.

Huenda hizo food supplements zina vichocheo vya homoni za kike zinazowasababisha watumiaji watamani kuingiliwa.

Nakushauri tu, ndugu mjenga misuli usiyetaka kuwa shoga, jiepushe na madawa hayo. Kula vyakula vya asili vyenye protini kwa wingi nawe mwili wako utakaa vizuri tu.

Epuka shortcut
Gongolamboto kuna body anaitwa chipokidali,dah huyo alitia mpk fora
Maana alienda dubai aluolewa..
Kna clips zake nazo zkavuja wanakulana na mzungu wake
Yaani noma

Ova
 
Back
Top Bottom