Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.
Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli.
Huenda hizo food supplements zina vichocheo vya homoni za kike zinazowasababisha watumiaji watamani kuingiliwa.
Nakushauri tu, ndugu mjenga misuli usiyetaka kuwa shoga, jiepushe na madawa hayo. Kula vyakula vya asili vyenye protini kwa wingi nawe mwili wako utakaa vizuri tu.
Epuka shortcut