Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Unacho sema ni wanao fanya izo ukienda kwenye mageto yao aisee n wakawaida hawnaa maendeleo unajiuliza pesa wanapeleka wapi kila sku kusifia wanaingiza pesa nyingi labda wanajenga makwao
 
Unacho sema ni wanao fanya izo ukienda kwenye mageto yao aisee n wakawaida hawnaa maendeleo unajiuliza pesa wanapeleka wapi kila sku kusifia wanaingiza pesa nyingi labda wanajenga makwao
Na makwao wanalalamika hawapelekewi chochote
 
Wametoboa wengi sana wengine wapo njee yanchi
Wengine wanabiashara kubwa wengine mmh ngoja mii niishie hapa.
 
Unauliza swali au unahukumu? Kwani ungepungukiwa na nini ungetunia majina yenye stara? Kila anaefanya biashara anatajirika? Hakuna wanaofilisika na hajuna wanaoishia kupata pesa ya kujikimu tu? Acha ushabiki andika vitu vitakavyoisaidia jamii.
 
Kamuulize wema sepetu
 
Sababu kupata hela sio kigezo cha utajiri. Kuna watu wanalipwa mshahara mkubwa na sio matajiri. Ni kitu kile kile.
Ili kuwa tajiri inabidi uwe na ujuzi wa kutunza pesa, na kuzalisha pesa kutoka kwenye pesa ulizozalisha. Wengi hawana huo ujuzi.
 
si kweli. unazani matajiri wote wamepata pesa kwa njia za halali?tuanze na daimond kwanza kuna kitu kimejificha kwenye mziki wake kupitia hayo mambo fikiria hata akiimba matusi na bado watu watapenda mziki wake kuliko ww utakaeimba nyimbo za kuelimisha.
 
Nawaombea wanangu wakue katika njia nyoofu ....em msikilize wimbo huu YESU WEWE WAWEZA by ASHLEY NASSARY....Kaimba kweli huyu kijana.
 
Wangesoma malaya wote hapa.
 
Nimefuatilia huu uzi nimebaki kushangaa , mtu anasema wapo makahaba matajiri afu anasema eti kuna kahaba kajenga nyumba anaishi vizuri

Nawasihi nendeni mkasome who is called a rich person
Kuwa na nyumba si utajiri huo maana kama huo ndiyo utajiri basi Tz si nchi maskini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…