imeshushwa huku ikiwa na copy and paste ya vitabu kibao vya bible??
Quran kashushiwa mtume miaka ya Approximate 500 baada ya kristo
hii kitu huwa inanifikirisha sana
Basi shida sio uislamu ni waisalm wajinga ndio wanaouharibu uislamu,hasa wale magaidi na wale wazenji wanao kataza wakristo kujenga makanisa ya kuabudia.
Kimsingi hata hizo story zao hasijakamilika ziko nusu nusu,kuiamini kurwani inabidi ujitoe ufahamu,ndio mana wanawalamba mboko watoto madrasa ili waikariri na kuiamini kwa lazima.