Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

Msimbe umerithishwa uchafu kutoka kwa mama ako mzazi ..wengi wachafu ndo chanzo cha UTi Hata mkiingia hedhi mnanuka jaribu kuwa msafi 🤣🤣.

Najua hakuna kweny dini yenu hamja fundishwa usafi hata kama bila ya kunawa baada ya kutoka chooni unaingia kufanya ibada hata uvae chupi unafanya hiki ndo chanzo wengi wachafu angalia mkimingle nasi tunawafundisha usafi .🤣🤣
Wakiitwa wanaume utasimama?🤣 na UTI unaijua kwasababu unayo uliinywa ulipokua unatoka shwain
 
Dini sio njia sahihi ya binadamu kutembea nayo , kwa sababu tu kwenye dini hakuna upendo zaid ya kujikweza.
 
Wasabato wanachukiwa kwa vile mafundisho yao yamenyooka,sisi madhebu mengine Kuna Mambo mengi yamerahisishwa ,hii ndio Sababu waumini wa madhehebu mengine yanauchukia usabato maana hawapendi kusikia Ile Kweli.
 
Wasabato watu poa sana ila unafki 100%. kuna wasabato wa aina mbili nchi hii
1. Wapare
2. Wakurya na ndugu zao wa kanda maalum

hao jamaa ni hatari sana
 
Wasabato wanachukiwa kwa vile mafundisho yao yamenyooka,sisi madhebu mengine Kuna Mambo mengi yamerahisishwa ,hii ndio Sababu waumini wa madhehebu mengine yanauchukia usabato maana hawapendi kusikia Ile Kweli.

Mafundisho yamenyooka wapi? biblia inakataza mambo ya sabato lakini wao wapo nayo tuu [emoji3][emoji3][emoji3] mambo ki msingi wasabato hata habari za yesu kwao ni haramu sema hawana namna.

na huyo nabii wao wa kimarekani ni free mason [emoji3]
 
Nawapenda hawana tamaa ya sadaka
  1. Ukiwa na sadaka kaweke kwenye kibox cha sadaka
  2. Hakuna kufuatanafuatana kuoa kwa lazima au sadaka yako kuchunguzwa kwenye bahasha
  3. Unaruhusiwa kushitua moyo kwa maji yaa shayiri ila usisumbue jamii
 
Quran huwa haiwi interpreted in individual verses ndugu yangu. Quran imeshushwa in narration according to the events of the time.

Take time to study it. You will understand in length.

imeshushwa huku ikiwa na copy and paste ya vitabu kibao vya bible??
Quran kashushiwa mtume miaka ya Approximate 500 baada ya kristo
hii kitu huwa inanifikirisha sana
 
Quran 17:70 says it all.

Human dignity must be respected, regardless of his/her faith, race ethnic origin, gender or social status

Also 6:109

Do not abuse whom they worship other than Allah (SW).

In short Islam does not condemn other religions.
Aya za kuzugia
 
Bible imeandikwa before Quran. na quran tunasema imeshushwa sasa kwanini quran ina story za bible? while quran imeshushwa,
Nioneshe story ya Daudi kubaka mke wa mtu, Mussa kuambiwa na Mungu awauwe watu wote awaache vibinti bikra kwa matumizi ya baadae, Yesu kushikwa shwika na Mary Magladena, Lut kutembea na binti zake n.k.
Mnaongopeana makanisani kwa kuchomoa aya wakati Quran haujawahi kusoma hata sura yenye aya tatu na kuimaliza.
Hata biblia nina imani haujasoma hata robo kuimaliza bali mnasomewa ndiyo maana kuna aya za biblia mkiwekewa mnaona mambo mageni.
 
Haya ndiyo yaliyochambuliwa na kuachwa kando.
 
Single mother takataka nae akushobokee mchafu!🤧 Jaribu hata kutumia maji ukimaliza kujisaidia ...
Single mother ni tusi? Bahati mbaya kwako mie sio single mother kazi kwako ulokulia kwa baa medi hata baba humjui
 
Nioneshe story ya Daudi kubaka mke wa mtu, Mussa kuambiwa na Mungu awauwe watu wote awaache vibinti bikra kwa matumizi ya baadae, Yesu kushikwa shwika na Mary Magladena, Lut kutembea na binti zake n.k.
Mnaongopeana makanisani kwa kuchomoa aya wakati Quran haujawahi kusoma hata sura yenye aya tatu na kuimaliza.
Hata biblia nina imani haujasoma hata robo kuimaliza bali mnasomewa ndiyo maana kuna aya za biblia mkiwekewa mnaona mambo mageni.
Kama zipi? Ungesoma kitabu cha satanic verses of islam ungejua. Mtume wenu aliongea nini kuhusu miungu ya wa quraysh mpaka zile aya zikafutwa.
 
Back
Top Bottom