Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tanzania tunaendesha magari chakavu ya muda mrefu hiyo imekua kasumba yetu kwa sababu ya kukimbia Kodi kubwa kwa magari ya miaka ya karibuni na ndio maana unaona nyuzi za kuponda magari chakavu haziishi humu..magari hayana matatizo matatizo yapo kwenye uchakavu wetu...tunanunua gari ya 2002 na wewe unasema mpya harafu isikusumbue kweli...Wachache ina maana wapo Isanga. Inawezekana si wewe au mtu unayemfahamu.
Kileuuuuuuuuuuuuuwi!!!😋😋😋View attachment 1760103
Xtrail new shape
Upo sahihi.Tanzania tunaendesha magari chakavu ya muda mrefu hiyo imekua kasumba yetu kwa sababu ya kukimbia Kodi kubwa kwa magari ya miaka ya karibuni na ndio maana unaona nyuzi za kuponda magari chakavu haziishi humu..magari hayana matatizo matatizo yapo kwenye uchakavu wetu...tunanunua gari ya 2002 na wewe unasema mpya harafu isikusumbue kweli...
Ingia online uangalie review, utaipenda.Kileuuuuuuuuuuuuuwi!!!😋😋😋
Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima🐒 anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walioenda shule sahihi za ufundi wa magari.Sijawahi kuona mtu ananunua mpya gari Tanzania zaidi ya serikali la 2018 tuu tunatafutana ndio iwe mpya mazee yaani 2021...
Tz Kuna maduka ya tairi used na za kuchonga zionekane zina kashata ila zilishaexpire kitambo.Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walienda shule sahihi za ufundi wa magari.
🤣🤣🤣Tz Kuna maduka ya tairi used na za kuchonga zionekane zina kashata ila zilishaexpire kitambo.
Mbona wazungu wapo kibao ambao sio watunzaji wazuri wa magari...Hakuna gari yoyote inayosumbua duniani kuanzia Nissan,BMW,Benz na kadhalika kama utazingatia kanuni zote za uendeshaji wa gari na kanuni zote za matunzo ya gari.Gari huwa zinasumbua kwa sababu mtu mweusi ni kima🐒 anaependa shortcut na pia hakuna mafundi walioenda shule sahihi za ufundi wa magari.
Tofauti ya mzungu na mtu mweusi ni kwamba mzungu anajua kabisa kuwa asipotunza gari inaenda kufa ila mtu mweusi hatunzi gari na analalamika kuwa inasumbua!🐒🐒🐒Mbona wazungu wapo kibao ambao sio watunzaji wazuri wa magari...
Shida letu ni kulalamika. Gari ya 2001 umenunua m5 kutoka kwa mwenzako aliyenunua m3 akaipiga rangi halafu unapost nissan zinasumbua sana.Mbona wazungu wapo kibao ambao sio watunzaji wazuri wa magari...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Wengi wao waganga njaa tu sasa mtu anajiita fundi umeme ama fundi waya hana lolote anahangaika kuchuna nyaya na kuunganisha kitesta sijui kimechoooka anaungaunga hajui A wala B, mwisho anakwambia sensor imekufa lete laki tano Mxiuuuuuuuuu , kuna mmoja nilimtandika makofi hana hamu.
Hapana sijawahi kuendesha gari bovu..Si bure una idea za ufundi au umeendesha gari bovu mda mrefu huko nyuma[emoji1787]
Kama uliilaza garage lazima wameshaiba..wakuu nissan dualis inasauti mbaya kama exahaust ina tundu lakini nilifungua nikakuta yale masega hayapo je hii inaweza kuwa sababu na naweza pata wapi masega
Basi unakosea mkuu, kama vipi anza mtindo mtindo wa kupunguza bolts kwenye chuma yako cause hata ikipelea bolt moja au mbili life litasonga...Kwa utashi wangu naona kama kitu kikikosekana na maisha yanaenda basi hicho kitu sio lazima kiwepo.
nimeshaanza. stabilizer ilikuwa inaleta mambo meusi, ikarekebishwa mara ya kwanza, ya pili muda mfupi tu baadaye, nikaona ukiazi huu. nikaitoa, sai iko store.Basi unakosea mkuu, kama vipi anza mtindo mtindo wa kupunguza bolts kwenye chuma yako cause hata ikipelea bolt moja au mbili life litasonga...
Anzia kwenye matairi kisha nenda mpaka kwenye steering wheel , shock absorber /spring na kwingine kote...
Then utanipa majibu...
Ndugu yangu nimeona uzi wako,sasa hivi unataka kuhamia Nissan?spea za kunjunga kwa nissan sio pahala pake.... weka vitu ufurahie gari
mkuu nilikuwa nimepaki nataka niifufue , niliunguza cylinder head make nissan na coolant ni pete na kidole , safari za shamba zinakaribia mkuuuNdugu yangu nimeona uzi wako,sasa hivi unataka kuhamia Nissan?
Nissan ni mzigo ndugu yangu!mkuu nilikuwa nimepaki nataka niifufue , niliunguza cylinder head make nissan na coolant ni pete na kidole , safari za shamba zinakaribia mkuuu
Nakupinga nina X Trail ya mwaka 2016 iko kama Harrier Hybrid. Gari ya kibabe sana full umeme na ni ya kisasa haswaX-trail Gari ya wanyonge